Huu ni Unafiki

Huu ni Unafiki

Speaker

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
6,324
Reaction score
2,244
Haya mabango nayo ona kila sehemu
1.Jk na kikongwe="anajali wazee"
VIPI WASTAAFU WA EAC?

2.Jk na watoto/pipi kwa mtoto="anajali watoto"
vipi kuwakosesha elimu kwa gharama za juu vyuoni na mikopo ya kizushi?

3.Jk na wachezaji="anapenda michezo"
TUMECHUKUA MEDALI NGAPI COMMON WEATH?
NA SABABU ZA KUSHINDWA KWAO NI KUKOSA MAANDALIZI MAANA HAWAKUA NA PESA ZA KUTOSHA

Mimi kila ntakapo mwona Jk na bibi yangu yupo ntamshauri aondoke......maana kila msaada anaotoa ana maanisha kumtimia mnyonge huyo katika kampeni


Toa msaada nenda zako Mungu atakulipa ila kwa staili hiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Umesahau shule za kata kati ya wanafunzi 40 mmoja anafaulu tena kwa div 3 ya chini! Sasa hizo shule hazina kazi tena!
Mwanafunzi anamaliza haijui maabara, hajui library haijui hajui hata stopwatch, sitanii tena mtafute mwanafunzi wa shule za kata halafu mfanyie interview ndogo tu ya vitu vya kawaida!
 
Kama yeye anajali watoto,kwa nini asingewalipa mapema watoto waliyosherehesha sherehe za kuzima mwenge?,anasubiri mpaka waandamane!Huu ni unafiki mkubwa!
 
kama yeye anajali watoto,kwa nini asingewalipa mapema watoto waliyosherehesha sherehe za kuzima mwenge?,anasubiri mpaka waandamane!huu ni unafiki mkubwa!

kila sehemu maandamano eeh ndo haki zinakuja duu1 sijui itakuwaje kwa wamama wajawazito waandamane pia! Au niandamane kwaajili yao
 
Haya mabango nayo ona kila sehemu
1.Jk na kikongwe="anajali wazee"
VIPI WASTAAFU WA EAC?

Kwa kweli anafanya vibaya na hili si stahili kwa wazee wetu. Kwa nini hataki kuwalipa wazee hawa???
 
Back
Top Bottom