WHO is a true POLLYANNA?? lets answer honestly.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WHO is a true POLLYANNA?? lets answer honestly..

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Abdulhalim, Oct 18, 2010.

 1. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Wandugu,

  Heshima Mbele,


  Lets discuss this, najua kwamba we have less than two weeks kabla ya kujua mbivu na mbichi, kuhusu safu za uongozi wa Taifa letu tukufu. Takwimu mbalimbali, za kisanii au si-za kisanii, it doesn't matter, zimetolewa na taasisi mbalimbali. Kwa maoni yangu zimetolewa ili ku-influence wapiga kura wale ambao tunaeza kuwaita 'undecided'..Kwamba tool hii ya 'takwimu' ni tool ya propaganda kwa hii targeted group ili kuwavuta waende upande fulani. Au pengine ni defensive mechanism huko mbeleni mambo yatakapoenda kombo kwa chama fulani..ili kipande uvuvuzela, ulalamishi na udhulumishi etc etc..(u can add your reason)

  Lakini kikubwa ni kwamba chama makini lazima kiwe na mikakati yake ya kujua 'kilipo'. Kwa maana ya kujua kwa makisio kitaambulia nini. Overall, vyama viwili vikuu this time around ni CCM na Chadema na kila kimoja kimeonesha kuwa na 'uhakika' na ushindi mnono kwenye ngazi ya urais, huko Znz usual suspects ni walewale CUF na CCM.

  Sasa tuchangie hapa..who do u think is overly confidence for nothing kwa uchaguzi huu? Unatumia vigezo gani?
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ina maana wote hatujui where we are heading into?
   
Loading...