Mkutano wa Kampeni wa Rais Kikwete Mbinga katika Picha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa Kampeni wa Rais Kikwete Mbinga katika Picha

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MAMA POROJO, Oct 18, 2010.

 1. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  [​IMG] [FONT=&quot]Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akipungia wananchi waliofika uwanja wa ndege wa Mbinga mkoani Ruvuma kumuaga mara baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni jimboni humo Oktoba 11, 2010[/FONT]

  [​IMG] [FONT=&quot]Wananchi wa Mbinga wakishangilia msafara wa Mheshimiwa Kikwete[/FONT]
  [​IMG] [FONT=&quot][FONT=&quot]Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Mheshimiwa Jakaya Kikwete akicheza ngoma ya chihoda iliyokuwa ikichezwa na akinamama wa kabila la wamatengo wa mjini Mbinga muda mfupi kabla ya kuhutubia mkutano mkubwa wa kampeni [/FONT][/FONT]
  [FONT=&quot][​IMG][/FONT] [FONT=&quot][FONT=&quot]Mgombea Urais kupitia CCM Mheshimiwa Jakaya Kikwete akiangalia ngoma ya mganda huko mjini Mbinga kabla ya kuhutubia mamia ya wakazi wa mji huo katika siku yake ya pili ya kampeni katika mkoa wa Ruvuma[/FONT] [/FONT]
  [FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot][​IMG][/FONT] [FONT=&quot]Rais Jakaya Kikwete ambaye ni mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi akisalimiana na wananchi mbalimbali wa mji wa Mbinga waliojawa na shauku kubwa ya kuonana naye kabla ya kuhutubia mkutano mkubwa wa kampeni.[/FONT]

  [FONT=&quot][/FONT] ​
  [​IMG] [FONT=&quot]Mganda[/FONT]
  [​IMG] [FONT=&quot]Umati wa wana Mbinga wakimsikiliza Mheshimiwa Kikwete ambaye ni mgombea wa urais kupitia CCM akihutubia mkutano wa kampeni[/FONT]
  [​IMG] [FONT=&quot]Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akiungana na wasanii wa ngoma za asili wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, kucheza ngoma ya Lizombe.[/FONT]

  [​IMG] [FONT=&quot]Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akiungana na wasanii wa ngoma za asili wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, kucheza ngoma ya Lizombe.[/FONT]

  [​IMG] [FONT=&quot]Wasanii wa ngoma za asili mkoani Ruvuma wakitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni uliohutubiwa na mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, Oktoba 11, 2010[/FONT]

  [​IMG] [FONT=&quot]Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) [/FONT][FONT=&quot]Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mtoto mlemavu Maria Chiwinga muda [/FONT][FONT=&quot]mfupi baada ya kuwasili mjini Mbinga jana ambapo aliwahitubia wananchi [/FONT][FONT=&quot]katika mkutano mkubwa wa kampeni.Dr.Kikwete aliahidi kumpatia mlemavu [/FONT][FONT=&quot]huyo msaada ili aweze kuendelea vyema na masomo yake.[/FONT]
  [​IMG] [FONT=&quot]Mheshimiwa Kikwete akiweka ishara ya ushindi kwa wana CCM wa Mbinga waliojitokeza kwa wingi kusikiliza mkutano wa kampeni mkoani Ruvuma.


  [/FONT]
  source. jakayakikwete.blogspot.com
   
 2. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ngoja nayo niichunguze kama ipo hosted kule 6telecoms
   
Loading...