Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu Ndiyo sasa tuko kwenye masaa 24 ya mwisho kabla ya kuhitimisha kazi yetu ya kuleta mabadiliko makubwa katika nchi yetu na kuifuta CCM katika historia ya Tanzania. Unaweza kuwa shujaa wa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Sikiliza fatwa za uislamu juu ya kupiga kura kupitia redio Imani FM ya Morogoro.Kila eneo linaweza kuwa na masafa yake.Sheikh Muhammed Issa yuko hewani. Ukikosa sasa inarudiwa rudiwa leo.
0 Reactions
29 Replies
10K Views
Eee mwenyezi Mungu, wewe ni mwingi wa Rehema. Tunakushukuru sana kwa kuiweka nchi yetu ya TZ katika hali ya utulivu kwa kipindi choote hiki cha uchuguzi na haswa kampeni. Mungu sasa tunaingia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kutokana na mwenendo wa kiasasa unavyoelekea kuna kila dalili ya wizi wa kura kutokea, na kwa kipindi hichi kifupi habari za njama hizo ya wizi zimekuwa zikilipotiwa humu (JF), kwanza na baadae...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
HEAVEN OR HELL................. While walking down the street one day a Corrupt Senator was tragically hit by a car and died...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mtikisiko Uchaguzi Mkuu • CCM yadaiwa kuandaa mipango ya kuvuruga uchaguzi na Mwandishi wetu WAKATI zikiwa zimesalia siku mbili kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu Jumapili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NIMEICHOTA BARUA PEPE KAMA ILIVYO:: Kama hii ni kweli basi huo ndio mkakati...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tetesi za mmiliki wa Kiwira kufunga kampeni za CCM zimetawala jiji la Arusha na maswali mengi wananchi wanajiuliza juu ya Mheshimiwa huyu Rais Mstaafu naye saa hizi za majeruhi anatafuta nini kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kulingana na Mjadala maarufu alio toa Dr Slaa Jioni ya leo ni wazi kuwa Mgawanyiko mkubwa wa Kijamii kwa Watanzania umesababishwa na UFISADI MKUU ambao Dr aliwahi kuwataja wahusika vinara KUMI na...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Jana jioni maeneo ya Mwadubi Wilaya ya kwimba jimbo la kwimba yamekamatwa mabox ya kupigia kura. Habari za uhakika kutoka kwa Mgombea wa Ubunge Letty Nyerere amesema wamekamata masanduku mawili na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tetesi hizi zinajengwa na hoja kuwa CCM wanasisitiza kuwa watapata ushindi wao kwa zaidi ya asilimia 80. Ushindi huu lazima upatikane kwa haki au hira kwa maana ndio utakaowawezesha kuunda...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za uhakika nilizozipata mida siyo mirefu, hatimaye South Africa wametufutia visa watanzania. Hivyo kama una shughuli za Holyday, Busness, Transit - No Visa required. Mwenye more info...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Na Kamarade wa Kamarade Katika mazingira ya sasa ambapo dunia imelazimishwa kuamini kuwa kuna tofauti ndogo sana kati ya Uislamu na Ugaidi, ninaingiwa na wasiwasi sana na hatua ya Dr Slaa...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Ndugu wana Jamii forum Je huu ni uungwana kwa vitendo vya CCM kuwatendea wananchi? fuata hiyo link Documentary
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Nilisimuliwa kisa cha mbayuwayu ambaye alikuwa anaishi katika shamba la Mkulima mmoja huko Ukwereni. Mbayuwayu huyo aliishi na wenzake katika maisha ya kutegemea nafaka na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni wazi ya kua wasomi wengi walioko katika post mbalimbali za serikali wanaogopa kujihusisha na siasa ili kulinda post zao na kuhofu kuhusu post zao hivyo wengi wao wanaamua kukaa kimya au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni ukweli usiopingika ya kua CCM katika uchaguzi huu itashindwa.Nini cha kufanya kwa CCM na JK kubalini matokeo ya uchaguzi na kuipa CHADEMA na Dr.Slaa atuongoze na baada ya miaka mitano mtapata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania inaongoza kwa kutoa misamaha mikubwa zaidi ya kodi ikilinganishwa na nchi nyingine za Afrika Mashariki pamoja na bajeti yake kuwa tegemezi kwa misaada ya nje kwa zaidi ya asilimia 30...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…