Wana-JF wapenda mabadiliko ya kweli yenye manufaa kwa nchi yetu hatuna budi kumpongeza kwa dhati kutoka ndani ya nyoyo zetu Dk. Wilbroad Peter Slaa kwa kazi nzuri na kubwa mno aliyoifanya kwa...
Jamani hawa jamaa wanaoitwa polisi wamepewa kura za kuchakachua matokeo wanapovamia kituo ambacho hakijatangaza matokeo yake wanakuja na kura nyingine ambazo ni feki then baada ya muda wa...
Wadau wanachama wenye mapenzi mema na CCM na wapiganaji wa kweli wa maendeleo ndani ya chama hicho wameanza mkakati wakumtaka Mwakyembe aombe uspika. Ila habari zisizothibika kundi zito la...
Hivi sasa niko kigoma mjini na matokeo ni kama ifuatavyo:
Kigoma mjini : Chadema wameongoza kwa kura 400, serukamba wa ccm kagoma kusaini matokeo so wameomba recount na sasa kura zinahesabiwa...
Baada ya ccm kutangaza nafasi wazi mbili; uspika wa Bunge la muungano na ule baraza la wawakilisi, kuna tetezi kuwa Lowasa anakamia nafasi ya uspika wa Bunge na anajiandaa kwenda kuchukua fomu.
Wakati tunazidi kusubiri matokeo yachakachuliwe!
Tukumbuke pia kuwa leo ni uchaguzi US. Ambako inasemekana Democrats watapoteza majority kwenye senate, hii ni kutokana na hali mbaya ya...
DAKIKA MBILI ZILIZOPITA 1610HRS
Ffu walikuwa wanakuja mbio kuwaadhibu washabiki wa chadema anatoglo
wakakutana na wafuasi wa chadema wanatoka na ushidni ikawabidi wao wasimame wakae pembeni na...
Rose Kamili agoma kusaini matokeo
Tuesday, 02 November 2010 19:36 0diggsdigg
Mussa Juma, Karatu
MGOMBEA wa ubunge jimbo wa Chadema, katika jimbo la Hanang, Rose Kamili ambaye ni mke wa zamani...
NIMEFUATILIA KWA KARIBU MNO KAMPENI NA MCHAKACHO MZIMA WA UCHAGUZI ZANZIBAR, KWA MARA YA KWANZA CUF WAMEIBOMOA PAKUBWA NGOME YA CCM UNGUJA. TAFSIRI YAKE KUWA USHINDI KWA CUF ULIKUWA DHAHILI, SASA...
Wote tumeponzwa na uvivu wetu wa kupenda kujumlishiwa matokeo na Tume. Matokeo yake hata yalipochelewa hakuna aliyekuwa anaweza kusema fulani ana kiasi gani hata kufanya kauli "lete data" itawale...
Wana JF,
Napenda kuwapa habari zilizo jili mitamboni kwetu kuwa viongozi wa CCM katika wilaya hizi 3 Ilemela,Nyamagana na Arusha mjini.
Viongozi hawa watakuta katika majimbo yao na kujadilia na...
Kama kuna uchakachuaji wa kura basi wafuatao ndio watwishwe lawama zote
Hon. Retired Judge Lewis M. Mkame - Chairman
Hon. Judge Omary O. Makungu - Vice Chairman
Hon. Prof. Amon E. Chaligha -...
Mungu wetu;
Ulitupatia Tanzania na watu wake (nikiwemo mimi, na wengine), mbona sasa unaruhusu watu wako wapigwe mabomu kisa wamechagua UPINZANI? Je, wapinzani si wa Tanzania? Je, hakuna sehemu...
Kwa mahesabu ya haraka haraka upinzani kwa bara umeongeza viti vya ubunge kwa asilimia 383 kuacha viti maalumu(kutoka viti 6 hadi 29). Hi inamaanisha kwamba kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 upinzani...
Katika post za awali kuna mtu mmoja ameuliza swali hilo, mimi naona nimjibu kwa mtazamo wangu binafsi, kwa ufupi Dr Slaa ataingia Bungeni muda si mrefu, kumbuka huwa kunakuwaga na chaguzi mdogo...
Ni jambo lisiloingia akilini eti kikwete amemzidi Dr. Slaa hata kwenye majimbo ambayo wagombea ubunge wa Chadema wameshinda. Wananchi wengi mitaani wanashangaa na wanashindwa cha kufanya zaidi ya...
Nina anadika kama Mtanzania ninayeipenda sana nchi yangu na ambaye nimekuwa na kiu sana ya kuona matokeo ya kuwa na vyama vingi vya siasa. Kwasababu vyama vingi vya siasa vinawezesha kuwa na...