Elections 2010 FFU wachelewa Anatoglo...

Semilong

JF-Expert Member
Mar 5, 2009
1,712
219
DAKIKA MBILI ZILIZOPITA 1610HRS
Ffu walikuwa wanakuja mbio kuwaadhibu washabiki wa chadema anatoglo
wakakutana na wafuasi wa chadema wanatoka na ushidni ikawabidi wao wasimame wakae pembeni na gari lao la maji ya kuwasha......
 
ushindi wajimbo gani mkuu!
 
DAKIKA MBILI ZILIZOPITA 1610HRS
Ffu walikuwa wanakuja mbio kuwaadhibu washabiki wa chadema anatoglo
wakakutana na wafuasi wa chadema wanatoka na ushidni ikawabidi wao wasimame wakae pembeni na gari lao la maji ya kuwasha......

Watatangaza sasa hivi
 
tupe figure

Hii hapa...au ulimaanisha figures/stats?

beyonce%2Bgreen%2Bdress.jpg
 
once confirmed please let us know.huku maofisini tupo kivuli tu akili zote ziko huko.
 
semilong....unavyoonekana na hiyo avatar yako ya putin sipendi kuamini kama unasema uongo...unapendeza ukiwa mwana-mapinduzi kama alivyokuwa role-model wako putin...hebu weka mzigo wa data hapa hewani kabla sijakuingiza kwenye list ya wapuuzi walioibukia this november 2010.....am sorry to say so
 
Jamani wekeni na figures kuthibitisha kuwa matokeo yametangazwa kweli...sio bla bla tu ambazo hazijathibitishwa......!
 
JK atashinda kwa kishindo mnoooo...maana inaonekana KILA kituo matokeo yakitoka tu na CHADEMA kushinda, watu wanaingia kitaa kwa shangwe na vigeregere na kutelekeza lindo. Hii inawapa nafasi NEC kufanya mambo yao.

Nimeshakata tamaa kabisa na matokeo ya uRais
 
Users Browsing this Forum

There are currently 4363 users browsing this forum. (642 members & 3721 guests)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom