Elections 2010 Lowasa kuchukua fomu za uspika wa bunge

Jibaba Bonge

JF-Expert Member
May 6, 2008
1,246
401
Baada ya ccm kutangaza nafasi wazi mbili; uspika wa Bunge la muungano na ule baraza la wawakilisi, kuna tetezi kuwa Lowasa anakamia nafasi ya uspika wa Bunge na anajiandaa kwenda kuchukua fomu.
 
Hizi tetesi zako zinaukweli ndani yake ila six nae yumo kwenye kinyanganyiro hiki na kwakuwa upinzani nao wapo wapya wengi naona Lowasa atakuwa na wakati mgumu labda ccm watoe tamko kuwa yeye ndie mgombea pendekezwa na rais mteule
 
Baada ya ccm kutangaza nafasi wazi mbili; uspika wa Bunge la muungano na ule baraza la wawakilisi, kuna tetezi kuwa Lowasa anakamia nafasi ya uspika wa Bunge na anajiandaa kwenda kuchukua fomu.
Kama kweli basi ndio watanzania watakapotambua kwamba CCM na JK hawana nia njema na hii njchi ............. :A S angry:
 
Mwacheni achukue fomu ila ninashindwa ataongoza bunge la aina gani. Najua ataamua kuendesha bunge kwa kulipiza kisasi na kuwaadhibu wabaya wake lakini wabaya wake ni Watanzania wapenda haki. Nina imani ataishia kujichakachua mwenyewe.

Imani yangu ni kuwa hawezi kufanya lolote kwani bunge hawezi kuliendesha kama anavyowafanya Wamasai huko Monduli. Atashangaa jinsi atakavyokwama mapema.

Hata Six sioni kama ana lolote la maana akirudi bungeni maana jinsi alivyohitimisha Richmond alitauacha hoi. Alijifanya mpiganaji hatimaye akishia kula matapishi yake.
 
Baada ya ccm kutangaza nafasi wazi mbili; uspika wa Bunge la muungano na ule baraza la wawakilisi, kuna tetezi kuwa Lowasa anakamia nafasi ya uspika wa Bunge na anajiandaa kwenda kuchukua fomu.

acha kutupa hasira!
 
Back
Top Bottom