Re: Dr Slaa atafanya nini baadaye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re: Dr Slaa atafanya nini baadaye

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Bob_Dash, Nov 2, 2010.

 1. Bob_Dash

  Bob_Dash Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 91
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Katika post za awali kuna mtu mmoja ameuliza swali hilo, mimi naona nimjibu kwa mtazamo wangu binafsi, kwa ufupi Dr Slaa ataingia Bungeni muda si mrefu, kumbuka huwa kunakuwaga na chaguzi mdogo kwamfano endapo Mbunge KAVUTA, na nina hakika kwa hii mijeredi waliyochapwa CCM nafasi hizo za jammaa Wabunge wa CCM kuvuta ni kubwa mno, na nina uhakika akigombea ubunge kwenye jimbo lolote lile nafasi ya kushinda is almost 100%, hasa ukizingatia TIMU YA MACHAMPION WA CHADEMA iliyopo Bungeni kwa sasa.
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mmmmh,unawazia watu kufa au ndo yahaya kaingia humu???

  Ushindwe hafi mtu kama ni kwa mawazo hayo
   
Loading...