Polisi wanaovamia vituo vya kuhesabia kura wamebeba kura za kuchakachua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi wanaovamia vituo vya kuhesabia kura wamebeba kura za kuchakachua

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rumishaeli, Nov 2, 2010.

 1. Rumishaeli

  Rumishaeli JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 225
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Jamani hawa jamaa wanaoitwa polisi wamepewa kura za kuchakachua matokeo wanapovamia kituo ambacho hakijatangaza matokeo yake wanakuja na kura nyingine ambazo ni feki then baada ya muda wa purukushani kuisha wanasema kura zihesabiwe upya kumbe tayari washaleta kura mpya. :israel:
   
 2. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Chanzo cha hii habar mkuu:bowl::bowl:i!??
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,549
  Likes Received: 415,719
  Trophy Points: 280
  Kuna harufu kali ya kuchakachua taarifa hii au yenyewe ni ya kuchakachua au imechakachuliwa mahali.......whatever...............................SOURCE PLEASE OTHERWISE IT IS RUBBISH....................
   
 4. Rumishaeli

  Rumishaeli JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 225
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Usiulize chanzo fanyia kazi ni muhimu wengine huku ni watu tupo kwenye systm ambao tunataka mgeuzi:A S angry:
   
 5. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kwenye majimbo hawahesabu karatasi za kura,wanafanya majumisho ya kura kutoka vituoni ambapo wanatumia fumu za majibu zilizosiniwa na mawakala wote pamoja na wasimamizi wa vituo.Sanduku la kura likishafungwa kituoni na kuwekwa muhuri,haliwezi kufunguliwa isipokuwa kwa amri ya mahakama.Kwa sasa hivi kama ni uchakachuaji haupo kwenye makaratasi bali kwenye takwimu za wapiga kura na kwa sehemu ambapo mawakala hawapo makini wanascan fomu feki kwenye komputa.
   
 6. i

  ilboru1995 JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,331
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kilichofanyika anatoglo ndiyo mpango mzima wa uchakachuaji ulivyotumika... electronic evidence ni muhimu sana ... CHADEMA tujiandae kupambana nao ndani na nje ya mahakama...
   
Loading...