Matokeo ya Urais Yanayotangazwa na NEC yana Harufu ya Uchakachuaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya Urais Yanayotangazwa na NEC yana Harufu ya Uchakachuaji

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Gosbertgoodluck, Nov 2, 2010.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ni jambo lisiloingia akilini eti kikwete amemzidi Dr. Slaa hata kwenye majimbo ambayo wagombea ubunge wa Chadema wameshinda. Wananchi wengi mitaani wanashangaa na wanashindwa cha kufanya zaidi ya kusikitika. Wanaoweza kuwasaidia wananchi ni Chadema yenyewe na wanaharakati. Lazima hatua stahili zichukuliwe ili ikiwezekana zoezi la kuhakiki na kuhesabu kura lifanyike upya ili haki itendeke. Inawezekana ni kweli kwamba kikwete ameshinda lakini siamini kama amemshinda Dr. Slaa kwa tofauti kubwa kiasi hicho. Chonde chonde viongozi wa Chadema chukueni hatua wananchi tupate amani.
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  Hii mbona ni thread yangu...can't you at least acknowledge my work.........................plagiarism is a work of a copycat and a copycat never learns...........
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  This is my thread....umeichakachua without even acknowledging.............we call it plagiarism............
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda hii, ingekuwa ni theses basi huyu mwenzetu kafutiwa kazi nzima!
   
 5. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kalaghabaho na tabia yako ya kuangalia nani kaandika nini!! hata hivyo sishangai sana baada ya kubaini kuwa wewe ni " kwa kweli infwact, nshomile, ...". Jamani ebu someni hata hutu tuandishi tu tulivyo na harufu ya ushomile "I am a public policy analyst based in Arusha, Tanzania".
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,819
  Likes Received: 10,108
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni baadhi ya watanzania wachache wenye kitu kama mtindio hivi ndio wanaosapoti huu wizi
   
 7. t

  truth Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi wewe uko Tanzania hii au Marekani kama wenzio wengi. Kwa kukusaidia ni kwamba siasa za Tanzania bara ziko hivi : Watu wanapiga kura kumchagua mtu na si Chama. Just do little hommework na utajua ninachokwambia, ndiyo maana hata Chadema imependwa zaidi baada ya kumteua Dr Slaa kugombea nafasi ya Urais. Ni credibility ya Dr. Slaa as a person that have made a very good contribution to ChademaM thanks 2him.
   
 8. M

  Mjasiriamali1 JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,318
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  nec wezi utupu. Wamechakachua matokeo.
   
 9. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Soma thread yangu then linganisha na ulichoandika. Naona kama upo "off point". Pole sana!
   
Loading...