Karibu kinaeleweka....tusife moyo


everybody

everybody

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Messages
337
Likes
2
Points
0
everybody

everybody

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2010
337 2 0
Kwa mahesabu ya haraka haraka upinzani kwa bara umeongeza viti vya ubunge kwa asilimia 383 kuacha viti maalumu(kutoka viti 6 hadi 29). Hi inamaanisha kwamba kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 upinzani ukiendelea kwa trend hii utaweza kunyakua viti vipatavyo 140 vya ubunge bara.

Kwa picha hii huu ndo mwaka wa mwisho kwa CCM kuchakachua matokeo na wajiandae kuachia serikali kwenye uchaguzi ujao kwani upinzani utakua umechukua zaidi ya nusu ya bunge.
Tusife moyo. Kikwete ndo anafunga pazia la utawala wa CCM maana inaonekana hao tume ndo wanamwingiza ikulu hivyo...

Mapigano bado yanaendelea.....

Ni mtazamo tu wadau
 

Forum statistics

Threads 1,237,547
Members 475,552
Posts 29,292,798