Kigoma: Majimbo matano yaenda upinzani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kigoma: Majimbo matano yaenda upinzani!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mwana siasa, Nov 1, 2010.

 1. m

  mwana siasa Senior Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 28, 2007
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi sasa niko kigoma mjini na matokeo ni kama ifuatavyo:

  Kigoma mjini : Chadema wameongoza kwa kura 400, serukamba wa ccm kagoma kusaini matokeo so wameomba recount na sasa kura zinahesabiwa, zitto yupo hapa kuweka mambo sawa. Ila so far chadema imeongoza.

  Kigoma kusini : Kafulila wa nccr kashinda tena kwa kishindo

  kigoma kaskazini: Zitto kapeta

  majimbo yote ya kasulu nccr imeongoza akiwepo mwanamama mmoja

  kibondo mjini (muhambwe): Nccr imechukua tena ni kijana mdogo sana anaitwa felix mkosamali

  kibondo vijijini (buyungu): Chadema anaongoza, japo kura bado zinahesabiwa.

  So mpaka sasa kama mambo yakienda vizuri kwenye jimbo la buyungu na upinzani wakachukua basi kigoma yote itakuwa ya upinzani  weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa a...............
   
 2. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Asante mkuu kwa habari hii murua
   
 3. M

  Mawazo1109 Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Asante mkuu kwa kutuletea news za home!!!! Big up sana
   
 4. U

  Uswe JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  asante mwanasiasa kwa habari taamu, wengine wenye sweet news, leteni habari
   
 5. c

  chanai JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii itakuwa imetulia kweli kweli na itakuwa fundisho kubwa sana kwa mikoa ya kusini. Nimechukia sana sisi watu wa kusini ni mambumbumbu kweli kweli. Sijui lini tutabadilika na kutoa matongotongo kwenye vichwa vyetu.
   
 6. M

  Mkulima JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 698
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Kigoma mjini CCM wamechukua baada ya recount ila kuna vurugu
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Na iendelee kuwa hivi hivi!
   
 8. Bob_Dash

  Bob_Dash Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 91
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Bunge lijalo litakuwa balaa, huyo bwana mdogo Kafulila wa NCCR ni moto wa kuotea mbali, nilimsikiliza kwenye mdaharo wa TBC, anaongea mambo kwa kushusha data za kuleweka, saaaafi sana CCM presha inapanda kisha inashuka ugonjwa mbaya sana huo, si muda mrefu wata collapse tu.
   
 9. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,412
  Trophy Points: 280
  Mwanasiasa, nimemesikiliza Channel Ten, Serukamba ndie katangazwa mshindi!. Unapopost posti kama hii, pia uwe unatoa na update, baada ya kura kuhesabiwa upya, ndipo na uchakachuaji ukapenyea hapo hapo, Serukamba ndipo alipoibukia.
   
 10. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Werawera...................mikoa midogo lakini inafanya mambo makubwa............way to go people!!:smile:
   
 11. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Je matokeo haya ni rasmi katika majimbo yote?? kwa maana yametangazwa na NEC.
   
 12. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Si kweli Star TV wametangaza Peter Serukamba kigoma, Kabwe kweli kashinda majimbo mengine bado kutangaza labda matokeo ya mwanzo tu
   
 13. rugumye

  rugumye JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Pongezi saaaaaaana wana Kigoma wenzangu tumetengwa muda mrefu sana, Tunaahidiwa international airport wakati shida yetu ni reli na barabara? ilikuwa dhihaka na matusi. pongezi kwa kutuma salaam. km ni kweli CCM watajifunza kigoma tunataka mapinduzi. poleni wana Kasulu kwa kichapo (vibao/makofi) toka kwa Nsanzugwanko wakati wa kampeni mlipomuuliza maswali.
   
 14. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,299
  Likes Received: 601
  Trophy Points: 280
  Nakumbuka wakati anarudi CCM, Nsanzugwanko alimwambia Mkapa kuwa amevunja kambi yake ya NCCR huko kigoma na anajiunga na CCM pamoja na kambi yake nzima. Haya yalikuwa matusi kwa wanamageuzi na hongereni wana Kasulu kwa kumwadhibu.
   
 15. rugumye

  rugumye JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkoa wa Kigoma umesahaulika kwa muda mrefu, na ilikuwa na sehemu ya kuchukulia kura (uncompetitive zone) ukiondoa kgm ujiji. sasa CCM watashtuka. serikali iliwatenga sana km vile siyo sehemu ya Tanzania. mfano wkt wanatenga mihela kibao kukarabati mjendo wa bunge kwa zaidi ya bilion 33 unaoendelea sasa, hakuna anayehangaika na shirika la reli wakati wananchi wanataabika na usafiri in and out. eti Kikwete anawaahidi kujenga international airport, sijui alikuwa ahajui km siyo kipaumbele kwa KGM. HEKO WANA KIGOMA KWA MAPINDUZI. BADO MIKOA YA KUSINI.
   
 16. T

  Tanzanian Member

  #16
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13


  unajua watu wa kusini wengi wao ni wavivu kufikiri na wagumu kuchukua hatua,
  napendekeza ifanyike operation sangara kule kusini
   
 17. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Kigoma na Kilimanjaro, Arusha and Manyara mmefanya maajabu makubwa sana...
   
 18. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Nchi hii hakuna democracy!! Dawa ni kuchapana kidogo!
   
 19. Wakuletwa

  Wakuletwa Senior Member

  #19
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kigoma majimbo nane ya uchaguzi NCCR majimbo 4, CHADEMA 1 nawapenda sana:israel:
   
 20. senator

  senator JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Kwani so far si wamechukua segerea,kawe na ubungo?? ukiangalia population ya jimbo moja la dar nadhani inakaribiana na majimbo ma4 ya kigoma..sasa kigoma wakija kuishi dar itakuwa ni sawa na boflo kuchovywa baharini!...
  Muamko mzuri kwa wakazi wa kigoma na kama sio huyo bwana serukamba kuchakachua basi kigoma ilikuwa iwe kambi maalum ya Upinzani
   
Loading...