Rose Kamili agoma kusaini matokeo:Mwananchi online | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rose Kamili agoma kusaini matokeo:Mwananchi online

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ng'wanza Madaso, Nov 2, 2010.

 1. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Rose Kamili agoma kusaini matokeo
  Tuesday, 02 November 2010 19:36 0diggsdigg

  Mussa Juma, Karatu

  MGOMBEA wa ubunge jimbo wa Chadema, katika jimbo la Hanang, Rose Kamili ambaye ni mke wa zamani wa mgombea wa Urais wa Chadema, Dk Wilbroad Slaa, amegoma kusaini makutokeo ya ubunge katika jimbo hilo, akilalamikia kitendo cha mawakala wake 49 kuzuiwa kuingia vituoni.

  Source Mwananchi
   
Loading...