Dr Salmin Amour hali ya afya yake naona siyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Salmin Amour hali ya afya yake naona siyo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Eeka Mangi, Nov 3, 2010.

 1. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  WanaJF leo katika kufuatalia matangazo ya kuapishwa Raisi wa Zanzibar nimeona jamaa yetu Komandoo hali yake si shwari! Sijui ni nini kinamsibu komandoo wa watu.
   
 2. terabojo

  terabojo JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hata mimi nimemuona akijikongoja kutoka VIP section akiteremka kwenda katika gari alilopangiwa - inasikitisha. Natumai serikali itamtibia kat hospitali zetu nchini au hata nje.
   
 3. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hata mimi naona kwa hali ya sasa JK atamtibia hapa hapa nchini sio kama alivyompeleka Mrema India. Tumtakie afya njema.
   
 4. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Utu uzima
   
 5. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Habari za afya yake zipo zamani.Mungu kampa upofu.
  Au wewe umemuonje shemegi yako kwenye hiyo picha?.
  Alikuwa akipapasa au alikuwa akichechemea?
   
 6. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Jamani uzeeeeee, ila niliwahi sikia ana matatizo ya macho
   
 7. N

  Nampula JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 254
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwenyezi mungu ampe uzima
   
 8. Ssebo

  Ssebo Member

  #8
  Nov 3, 2010
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 77
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Malipo ni hapa hapa duniani
   
 9. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Tumwombee afya
   
 10. Amigo

  Amigo Senior Member

  #10
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 150
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mzee Komandoo ni kweli anamatatizo ya macho na matatizo yake ni presha ya macho ambayo huleta upofu na hii hakuna cha India wala nchi za ulaya watakao weza kutibu upofu wake hiyo ndo imetoka, kwa hiyo Mzee Salimin Amour hana tena macho ambayo yanaweza kuona tena, pia huu ugonjwa wa presha ya macho ni wa ukoo kwani kuna mtoto wake mwingine anamatatizo ya presha ya macho.

  Kwa hiyo ni kumuombea tu Mungu basi lakini hakuna Miujiza wa kuweza kuona tena.
   
Loading...