Mantuntunu
Senior Member
- Nov 1, 2010
- 137
- 16
Mie siamini kama kura zilizoharibika ni nyingi kiasi hicho, sidhani pia kama Watanzania ni wajinga kiasi hicho. Mie nafikiri kura zilizoharibiwa ni za Wapinzani na zimeharibiwa kwa makusudi ili bwana Presidaa aonekane ameshinda kwa asilimia kubwa. Yaani kwenye Jimbo zima unakuata kura zilizoharibika zinafika 4000 kweli inawezekana kwa Tanzania ya leo???