Slaa Atafanya nini baada ya kuapishwa JK? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Slaa Atafanya nini baada ya kuapishwa JK?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kishongo, Nov 2, 2010.

 1. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tutamkosa bungeni manake amegombea urais na kufanikiwa kuongeza idadi ya wabunge wa chama.

  Swali ni je,atakuwa buisy akifanya nini?

  1. Kutafuta mabomu na kuwapatia Waheshimiwa Lissu na Mnyika wayalipue bungeni?

  2. Atamsaidia aliyetarajiwa kuwa first lady kuendeleza NGO yake?

  3. Atarudi church?

  4. Atasubiri mbunge aenguliwe na mahakama au afariki (Mungu aepushie mbali) ili agombee?

  5. Atarudi kulima vitunguu Karatu?

  Tafadhali tujadili ,,, bila matusi!!!.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  I cant discuss stupidity...(utanisamehe.,lakini naona hii ni stupidity!)
   
 3. e

  elibariki Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanini unauliza kabla final results hazijatolewa?
   
 4. B

  Biro JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 331
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  Kwani hakuna shughuli zingine zaidi ya siasa? wewe unafanya nini? atajua mwenyewe atafanya nini, nje ya chama hiyo ni mipango yake
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kweli kuna haja ya IQ test kabla ya kuwa member wa forum... wewe unatia huruma na kuchefua

  loads of crap in your post
   
 6. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Hakuna cha kujadili hapa tutasherehekea, atakuwa anamuoa Kishongo!!!
   
 7. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Majimbo yenye wapiga kura wengi yameshachukuliwa na CHADEMA,maana yake ni kuwa wapiga kura wa chadema wamemchagua Dr.Slaa (Phd).
  Mr,Dakta JeyKey inabidi akubali matokeo ya watanzania wengi.cha msingi aombe apewe uwaziri mkuu,na Dr.Slaa aongoze nchi
   
 8. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Stupid discussion
   
 9. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  ..........??????????????? Completely nonsense.....!!!!!!!!!!!!!
   
 10. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Wewe ndio hawa........

  [​IMG]
   
 11. m

  mamtaresi Member

  #11
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We kwa mtazamo wako ulitaka afanye nini ? Na mbona ni slaa mbona usiulize hao wengine akina lipumba? Wewe unadhani phd yake ni ya kupewa nini ? Mambo yako mengi ya kufanya hasa ukizingatia yeye ni raisi wa chama cha chadema atakuwa na mambo mengi sana ya kukiweka chama chake kikae sawa na ukijiandaa kwa 2015 . Au wewe kama unadhani hana cha kufanya mwajiri basi akusaidie hata ushauri kwa ofisi yako.
   
 12. K

  Kifuna JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 426
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hebu acha uchuro! Kwani matokeo umeshayajua? Waliokutuma kawaambie kuwa Dr. Slaa(pHD) ni katibu mkuu wa CHADEMA. nafasi ambayo hajaiacha bado.
   
 13. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  dr slaa atakuwa busy kuratibu madiwani na wabunge wa ccm kama katibu mkuu wa chadema ili wananchi waliomua kufanya mabadiliko kwa kuiamini chadema na kuipatia kura wasije kujutia kura zao na wananchi wengi aidi waweze kushawishika kuipigia kura chadema. Lakini pia kuna kazi kubwa ya kuratibu zoezi la mabadiliko ya katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania, kudai tume huru ya uchaguzi n.k.

  chadema ni tofauti na ccm isiyo wajali wapiga kura wake. Chadema inatoa kipaumbele kwa uwajibikaji kwa watu waliokichagua hivyo shughuli ya kutekeleza azma ya wapiga kura hao ni nyingi na zitamtosha dr slaa.
   
 14. p

  papaa elly Member

  #14
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kwanini umecreate a lot of options, wakati results bado? anyway atafanya mapambano zaidi kama kawaida yake against cccccccm, mind that he is general secretary wa chama

  ata ivo atawakochi vjana wake lisu na mnyika.....kwanini hukumtaja ZITO ata ivo au ndo keshanywea siku izi?
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Utterly disgusting and crap
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  nenda kamuulize dr slaa atakujibu.
   
 17. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  We unafikiri Dr Slaa ni poyoyo kama huyu mgombea wako?? We jiulize akishindwa uraisi ataenda wapi? Kulima viazi Msoga?
   
 18. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Maadamu Dr Slaa atakuwa na muda wa kutosha, angalia sana Dada yako na Mkeo wasije wakampenda mume wa watu.
   
 19. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  vijiweni kuna vijimambo tehetehe
  tusubili mambo yaishe
   
 20. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Stupid Idiot:A S angry::A S angry:
   
Loading...