Tumeshachakachuliwa, what next???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumeshachakachuliwa, what next????

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by QIDAQA, Nov 3, 2010.

 1. QIDAQA

  QIDAQA Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Iwe kweli au sio kweli hali inabaki kuwa JK tunaye for the next 5 years Insha Allah
  Nini kifanyike ili huu uchakachuaji wa safari hii usijirudie tena na watu wapate haki?
  We know they have good strategists wa kupanga mbinu nyingine.
  This time around kwa wale wasiojua....kutangazwa kwa matokeo ya ububge na udiwani vituoni na kusubirisha ya urais mpaka HO ya NEC ilikuwa strategy yao.
  How will they play it next time and how is it to be tamed ili haki itendeke?
  Kinana keshatangaza matokeo wakati NEC haijamaliza (we all know what that means)

  Home of great thinkers....Nini kifanyike?
   
 2. G

  Galilee Galileo Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nexti Mpka kielewe huu ni wizi wa mchana bila nguvu za watu tutaendelea kuzulumiwa na chama tawala
  "The primary objective of Revolution is to take power out of the hands of corrupt leaders and national bourgeoisies and put in the hands of people who have suffered the most, by replacing them with fresh blood, the Revolution has began"Captain Thomas Sankara the President of BurkinaFaso 1984 at the age of 34

  __________________________________________________
   
Loading...