Elections 2010 Kumradhi: Bado niponipo

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
katika Thread ya CHADEMA kuchuka Kilombero, nimemtumkana Bado niponipo. Naomba Uniwie Radhi maana nilihamanika kwa Sababu toka jana kuna Members ambao kazi yao ni kuleta habari ambazo hata wenyewe wanajua ni za Uongo kitu ambacho kinaweza kupelekea kushusha hadhi ya Jamvi letu

Nachukua nafasi hii, mbele ya Hadhira hii Kumuomba radhi member bado nipo nipo na wengi wote niliowakwaza

Asante
 
Mie pia sikumwamini Mkuu wangu. Kwa hilo pia niseme Samahani. Jana na juzi mitihani ya Form IV ilikuwa hadi kwenye daladala na mwisho hujui upi ni wa kweli na upi .................

Inabidi uwaelewe watu kwa upande huu.........
 
huu ndo ukomavu halisia na demokrasia ya kweli. Mkuu nimeipenda karej yako na hatua ulochukua. Keep it up man
 
katika Thread ya CHADEMA kuchuka Kilombero, nimemtumkana Bado niponipo. Naomba Uniwie Radhi maana nilihamanika kwa Sababu toka jana kuna Members ambao kazi yao ni kuleta habari ambazo hata wenyewe wanajua ni za Uongo kitu ambacho kinaweza kupelekea kushusha hadhi ya Jamvi letu

Nachukua nafasi hii, mbele ya Hadhira hii Kumuomba radhi member bado nipo nipo na wengi wote niliowakwaza

Asante

binafsi ulinikera, nachukua nafasi hii kutambua kuwa hukudhamiria, nimekusamehe!!!!!!!!
 
katika Thread ya CHADEMA kuchuka Kilombero, nimemtumkana Bado niponipo. Naomba Uniwie Radhi maana nilihamanika kwa Sababu toka jana kuna Members ambao kazi yao ni kuleta habari ambazo hata wenyewe wanajua ni za Uongo kitu ambacho kinaweza kupelekea kushusha hadhi ya Jamvi letu

Nachukua nafasi hii, mbele ya Hadhira hii Kumuomba radhi member bado nipo nipo na wengi wote niliowakwaza

Asante
Na huo ndio tunaouita Uungwana..! Asante sana.
 
Dr. NYU, u muungwana na nakubaliana na Njowepo lile neno lilitoka bila ridhaa yako. (btw u cant b my br bt my bro in lw, mi ni wa mudio lol)

@shem Sikonge hv na ww umeomba radhi?
 
Hata mimi nilishanga lakini asante kwa ukomavu wako na kugundua kuwa hukufanya vema kutoa tusi. Mungu akusamehe na nipo nipo akusamehe.
 
Mhusika vipi apology accepted?
Kwa kweli Ndege naona it was a slippery of the tonque or sorry of the keyboard
 
katika Thread ya CHADEMA kuchuka Kilombero, nimemtumkana Bado niponipo. Naomba Uniwie Radhi maana nilihamanika kwa Sababu toka jana kuna Members ambao kazi yao ni kuleta habari ambazo hata wenyewe wanajua ni za Uongo kitu ambacho kinaweza kupelekea kushusha hadhi ya Jamvi letu

Nachukua nafasi hii, mbele ya Hadhira hii Kumuomba radhi member bado nipo nipo na wengi wote niliowakwaza

Asante
thanks kwa uungwana.... sasa basi nenda uka-delete ile post kwani bado ipo
 
Asante mkuu inatokea kughadhabika but just try to control your temper. never write anything if you think you are angry. Pamoja mkuu!
 
katika Thread ya CHADEMA kuchuka Kilombero, nimemtumkana Bado niponipo. Naomba Uniwie Radhi maana nilihamanika kwa Sababu toka jana kuna Members ambao kazi yao ni kuleta habari ambazo hata wenyewe wanajua ni za Uongo kitu ambacho kinaweza kupelekea kushusha hadhi ya Jamvi letu

Nachukua nafasi hii, mbele ya Hadhira hii Kumuomba radhi member bado nipo nipo na wengi wote niliowakwaza

Asante

Dr. Ndege ya Uchumi heshima mbele mkuu.

Niwe muwazi nilishtushwa sana na badiko lako kiasi cha kuangalia Id yako mara mbilimbili, sikuwahi kutarajia kama post aina ile inaweza toka kwako, Ile ni habari iliyokuwa inarushwa LIVE na ITV Tanzania.

Usijali mkuu tuko pamoja, cha msingi Gender Sensitive aje at least kwa dakika moja kutupa confirmation yeye binafsi kwa kuwa ni member humu, mimi nilipoiona habari ile ITV Tanzania nilifarijika sana, Wasichana nao wanaweza hata upinzani.

Ndege ya Uchumi, kanyaga twende baba.
 
Sina Cha kuongeza Mkuu

Asante, Twende Pamoja
 
Sina Cha kuongeza Mkuu

Asante, Twende Pamoja
Umefanya jambo jema sana apo. Kuomba radhi ni ukomavu tosha, na uvumilivu ni jambo jengine:cool:
Ila wote wakumbuke ndio DEMOKRASIA, lazima kuwepo kuvumiliana MNAPOENDA njia tofauti,
UHURU BILA UKOMO NI UJINGA pia ijulikane:sorry:
 
katika Thread ya CHADEMA kuchuka Kilombero, nimemtumkana Bado niponipo. Naomba Uniwie Radhi maana nilihamanika kwa Sababu toka jana kuna Members ambao kazi yao ni kuleta habari ambazo hata wenyewe wanajua ni za Uongo kitu ambacho kinaweza kupelekea kushusha hadhi ya Jamvi letu

Nachukua nafasi hii, mbele ya Hadhira hii Kumuomba radhi member bado nipo nipo na wengi wote niliowakwaza

Asante

Hadhi aipandi kwa kwa kutukana watu. Mtu mwenye hekima anaweza kujirekebisha kama approach yako ni nzuri. Ni ile hadithi ya Mzee ruksa, chizi akichukua nguo yako nawe ukamkimbiza barabarani ukiwa uchi basi watu watajua wewe ndiyo chizi. Kwamba ni premium member haiwezi kuwa chanzo cha jeuri ya kutukana watu hovyo hovyo! Nilifikiri ulinitukana kwa sababu out emotion nilileta habari isiyo kweli leo nilipoona unaendeleza nikajua wewe ni mtu wa aina gani hata kama umemwomba samahani
 
Back
Top Bottom