Jana ndo ilikuwa deadline kwa upinzani kuendelea kuchukua viti vya ubunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jana ndo ilikuwa deadline kwa upinzani kuendelea kuchukua viti vya ubunge

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Njowepo, Nov 3, 2010.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  If I am wrong someone to criticize me please.
  Naona kama jana ndo ilikuwa mwisho wa kutangaza ushindi kwa majimbo ambayo yamechukuliwa na wapinzani.
  Je ni agizo toka NEC kwa wasimamizi kuwa waliopatikana wanatosha au it has just happened by coincidence.
  Mind you the more delays are made unless there is a mass pressure lazima ushindi uende CCM
   
 2. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ilo nalo neno.. Ccm imeshamwagiza agent wake majimbo waliyopata upinzani yametosha yani saizi ni kutangaza majibu kwa nguvu tu
   
 3. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  ndo maana ikaitwa FISIWENU!!:smile-big:
   
 4. Ikimita

  Ikimita JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 302
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  That's right. After Kinana's report yesterday everything seems to go green!!!
   
Loading...