kikwete kuapishwa tar 6/11/2010


Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
44,157
Likes
28,882
Points
280

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
44,157 28,882 280
kitakuwa ni kipindi cha lala salama lakini jamaa atakion cha motto ,kwanza rmafisadi inabidi wakatimuliwe upya na kuna maeneo huyu jk hatatakiwa kwenda akienda huko atapigwa mawe akae akijua hilo kabisa yy anatakiwa aende marekani,tanga au zanzibar au mtwara sijui. na magogoni tu basi.
 
Joined
Nov 2, 2010
Messages
32
Likes
0
Points
0

samoz

Member
Joined Nov 2, 2010
32 0 0
slaa anadai kaibiwa kura ,sawa lakini je katika nchi kama Tanzania au UGANDA Kuna loop holes nyingi za kushinda chama kilicho madarakani.
Hatujakua kidemokrasia kama vile nchi za wenzetu ....unadhani museveni anaweza shindwa uchaguzi wowote?hata kama hapendwi?? kikwete anapendwa sababu watanzania wengi sio watu wa kufanya analysis .Kikwete kama kuiba hajaiba kura nyingi labda mijini ..ila vijijini HAWA WENYE SHIDA ,hawana maji ,umeme ,hawana shule ndio wamempigia kura ....Tatizo ni Elimu !!!shule za kata zaweza kusaidia ...mwache mkwere ale nchi ,yeye,mkewe na watoto .
 

Consultant

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2008
Messages
6,875
Likes
8,603
Points
280

Consultant

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2008
6,875 8,603 280
Tatizo ni Elimu !!!Shule za kata zaweza kusaidia ...Mwache mkwere ale nchi....yeye,mkewe na watoto .
Sawa sawa. Nchi atakula ila dhamira itakuwa inamsuta siku zote za maisha yake. How does it feel kujijua wewe ni mwizi na kwamba KILA MTU out there anajua wewe ni jizi la kutupa? shameless, gutless, spineless, brainless, timid....
 

Forum statistics

Threads 1,204,682
Members 457,412
Posts 28,166,663