Chadema wajipange kwa kutoa dira nzuri kwa miji waliyochukua - 2015


Kisendi

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
700
Likes
53
Points
45

Kisendi

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
700 53 45
Wana chadema, Tuwaombe Viongozi wote wa chadema wasome hii topic kuwa kwa majiji na halmashauri walizochukua wahakikishe wanafanya vizuri sana ili mwaka 2015 iwe sample kwa miji mingine pia kwa kuwa wana madiwani wengi kama ARUSHA MJINI, MWANZA (ILEMELA NA NYAMAGANA) pia BIHARAMULO, MBEYA MJINI etc wahakikishe wanajipanga kuhakikisha huduma za msingi, kuwashirikisha wananchi kwenye urekebishaji wa barabara, maji na afya ili angalau ifikapo 2014 tuwe na muonekano mzuri.

PILI WAHAKIKISHE CHAMA HAKIFI WAOGOPE WANACHAMA BANDIO, AMBAO WATAHARIBU CHAMA NA MWAKA 2015 WATAFITE MTU AMBAYE ATAGOMBEA NA KUKIOMBA CHAMA CHA CUF WAUNGANE.

TATU Dr SLAA AHAKIKISHE WILAYA ZOTE NCHINI TUNA WANAMITANDAO WA CHAMA NA VIJANA WENGI WANAOMALIZA VYUO KUWASHAWISHI WAWE WANACHMA WA CHADEMA KUPITIA VYUO VYOTE NCHI KAMA ILIVYOTOKEA KWA HABIB NA SAMSON WA ILEMELA NI MFANO WA KUIGWA MAANA NI VIJANA AMBAO WAMEGRADUATE SOON.

NNE KILA KATA TUWE NA MADIWINI TAYARI KWA UCHAGUZI WA 2015.

NI HAYO TU YANGU. KWA SASA TUIACHE CCM IONGOZE WALA TUSIKATAE MATOKEO YA URAIS ILI KUONYESHA NJIA.
MAWAZO YENU WADAU MNASEMAJE.
 

Mauza uza

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2008
Messages
2,093
Likes
819
Points
280

Mauza uza

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2008
2,093 819 280
Na wajitahidi kwenda mikoa ya wajinga ie. Singida,Tabora et al na vijijini kuwaelimisha kuwa CCM ya sasa si ya Nyerere...nasikia mpaka sasa huko vijijini wanajua CCM inaongozwa na Nyerere-RIP.Wasikate tamaa juhudi zao zimeonekana,na sie tulio ughaibuni hivi vishina vyetu vya CCM ni ujinga hebu tuamuke jamani hivi hamuoni maendeleo ya wenzetu??????
 

Forum statistics

Threads 1,204,864
Members 457,581
Posts 28,173,731