Nyumba inauzwa ipo kwembe mpakani kilomia 2 kutoka morogoro road | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inauzwa ipo kwembe mpakani kilomia 2 kutoka morogoro road

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by bitale, Nov 3, 2010.

 1. b

  bitale New Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naomba unisaidaie kupeleka habari hii kwa wana jamii kwamba nyumba iliyopo kwembe mpakani kilomita 2 kutoka barabara ya mororgoro ukipitia pale kituo cha mafuata cha natoil kabla ya kibamba inauzwa.

  kiwanja na nyumba vimepimwa na wizara ya ardhi na kimelipiwa gharama zote na offer na documnets zote zipo. Tittle deed ipo kwenye hatua za mwisho. Kiwanja kinaukumbwa wa square metter 1518, nyumba kama unavyoiona imeshaezekwa.

  asking pricing ni 100,000,000/= (milioni mia moja shilingi za kitanzania)

  serious people wawasiliane na mr. Dennis ngasoma 0719 173444 au 0754 449932 for inspection na kwa maelezo zaidi kuhusu nyumba hii. Huyu ni jirani yangu ambaye anaweza kuwasaidia wateja pindi wakitaka kutemebelea kuona nyumba.

  natanguliza shukurani za dhati

  asanteni
   

  Attached Files:

 2. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Acha ujinga wewe, inamaana hujui hapa si mahala pake??????, Pia bei siyo realistic kwa morogoro navyoifahamu
   
 3. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Mkuu punguza hasira basi,msamehe na umuelekeze huoni hiyo ni post yake ya kwanza hapa JF.
   
 4. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Ni kweli mkuu, hukuwa na sababu ya kumtukana member mwenzako na hajatukana ktk post yake wala nini. Kakosea tuu wapi waeke tangazo lake. Ungemsaidia maelekezo kuwa hapa sio jukwaa lake na apeleke ktk jukwaa la matangazo, na wala isingekugharimu chochote.

  Ndugu Pascal, usichukie sana, unajua tena kipindi hiki cha uchakachuaji wa matokeo, watu bado wana hasira. Lakini kwa kawaida watu wa jamvi hili huwa ni wastaarabu sana.
  Nina imani wanaohusika ... modes ..... mtamsaidia mwenzentu kumwekea post yake kunakohusika.
   
 5. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  sasa hiyo nyumba mpaka ikamilike na kuwa nyumba ya maana na ukuta na kila kitu si chini ya milioni 50, ukijumlisha na hiyo ya kununulia inakuwa 150milion,
  unajua saa nyingine mtu inabidi uwe mstaarabu, jaribu kuuza 50m ili cost zingine zifike 50 na jumla mtu imcost kwenye mia hivi

  bei kubwa sana
   
 6. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Tusimhukumu. Huwezi jua kama nyumba ina connection na matokeo ya uchaguzi.
   
 7. R

  Reasoning Member

  #7
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wazee msisahau pia kuwa eneo la kwembe limechukuliwa na serikali kwa ajili ya chuo cha afya cha muhimbili na watu wanalipwa fidia. Kuweni macho!
   
Loading...