Amri ya mahakama yawezasitisha Mtokeo kutangazwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amri ya mahakama yawezasitisha Mtokeo kutangazwa?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by jambotemuv, Nov 3, 2010.

 1. jambotemuv

  jambotemuv JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Je? Hivi sheria zetu zinaruhusu AMRI ya mahakama kusitisha shughuli za NEC kwa manufaa ya usalama wa raia pindi ikipoke malalamiko halali? Naamini tuna kila aina ya ushahidi kuthibitisha Tume ina hatari ya kuhatarisha amani na usalama wa raia. Vile sheria zetu mbovu za uchaguzi zasema tume ikitangaza ndo basi, yafaa sana kuizuia kisheria kutangaza. Kina Marando mwasemaje?:thinking:.
   
 2. R

  Rugemeleza Verified User

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 26, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mahakama ina mamlaka kutoa amri hiyo kwa mujibu wa Katiba.
   
 3. jambotemuv

  jambotemuv JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Basi wandugu tupige kelele hili lifanyike mara? Hawa wahuni hakuna namna nyingine ya kuwaanika kwa jumui za kimatafifa etc. Marando mwasubiri nini?. Hapo ndo penyewe pa kuubatilisha uchaguzi na kuitimua tume.
   
 4. jambotemuv

  jambotemuv JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Wandugu lichemkiwe hili jamani. Tuna uhakika hawana jipya wala woga na vurugu wafanyazo. Wamesha tupa ushahidi tosha na sasa tuufikishe kunako sheria kisheria.
   
Loading...