Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Uchaguzi umemalizika, japo ni kwa mtindo wa sadakalawe, mwenye kupata, kupata hata kama ni kwa kuiba, bado kapata tuu na mwenye kukosa, kakosa hata kama ni kwa kuibiwa, kudhulumiwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Tokea jana kila nikipita mjini watu wapo busy na shughuli zao na mji upo kimya kama vile leo hakuna tukio muhimu la kuapishwa Rais wao kipenzi aliepita kwa kura za kishindo/tsunami. Watu wengine...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Chenge na Uspika Suala la Bwana Andrew Chenge kugombea uspika limezua mjadala maeneo mbalimbali kama ilivyokuwa wakati kashfa ya radar ilipowekwa adharani (na kashfa nyingine zilizoibuka) na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mussa Juma,Arusha KAMPENI za kumsaka Meya wa jiji la Arusha, zimeanza mjini hapa baada ya kumalizika uchaguzi mkuu na wagombea wa vyama vitatu vya Chadema, CCM na TLP wanatajwa kuwania...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni mesikia katika vyanzo vya habari kuwa kauli ya JK, amewaambia wananchi kuwa uchaguzi umeisha kwa ivyo sasa ni wakati wa kuponya madonda ya uchaguzi, aidha amewataka watanzania kusahau yote...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kama Chadema watawakaribisha wapinzani wengine kwenye kambi hiyo Bungeni basi TLP iachwe kabisa kwani ni hatari kama UKIMWI. Mrema amekuwa akimpigia kampeni JK kwenye jimbo lake badala ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Please check out below pic and have your say:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimesoma kwa masikitiko makubwa juu ya kile ambacho Chenge anataja kuwa sababu yake ya kugombea nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha 2010-2015. Chenge...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima kwenu wanajamvi, Wakuu halmashauri ya jiji la Arusha itaongozwa na upinzani iwapo vyama vya CHADEMA na TLP vitaunganisha nguvu dhidi ya CCM yenye viti vingi.CCM ilipata viti kumi [10]vya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NGUVU YA ZIADA na KAZI YA ZIADA katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu ni nini?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Bunge la safari hii kwa kweli limevunja rekodi. Nadhani hatujawahi kuona Bunge lenye mchanganyiko wa watu wenye uwezo wa kuchanga hoja kama hawa. Sio tu kwamba wana uwezo wa kuchanga hoja, ila pia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kufaham, je ni mhimu kwa mgombea uspika kuwa mwanachama wa chama flan? Au ni zipi sifa za kugombea uspika??
0 Reactions
4 Replies
2K Views
USHURU WA SARUJI IAGIZWAYO KUTOKA NJE KWA SASA NI 25%; na VAt ni 18%. ushuru umewekwa kwenye saruji ili kulinda uzalishaji wa viwanda vyetu vya ndani; kwani Saruji kutoka nje inaingia kwenye...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Binafsi sikukupigia wewe kura yangu ingawaje niliwapigia kura wagombea wa chama chako ngazi nyengine. Kampeni zako na za wapinzani wako ndizo zilizoniongoza kufanya hivyo. Najua machungu...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Ni jambo la wazi kuwa Watanzania wengi waliokupigia kura mwaka huu 2010 wanahamu kubwa kusikia kutoka kwako juu ya shughuli zako za kila siku za kutuongoza watanzania katika kuiendeleza nchi yetu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
msikilize mjane huyu anvyotoa ushuhuda wake 0765 152219
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wapenzi na washabiki wa Mabadiliko na Maendeleo, sote tunajua kabisa kuwa kuna sehemu CHADEMA imezulumiwa ushindi ktk baadhi ya Majimbo. mfano mzuri ni SEGEREA, BKB TWN, TRM, Kilombero...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani tuachane na mambo ya kulumbana, cha muhimu hapa ni tume huru na katiba mpya, basi.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hata mwanangu wa miaka miwili anajua Lowasa ni fisadi. Nilimuonesha jana kwenye TV. Nikamuita: "mwanangu njoo uone fisadi kwenye TV". Akaja. Hawa CCM tunawaweza. Ni suala la kuthubutu tu.
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Uchaguzi umemalizika sasa na matokeo yameshatangazwa. Ma-Rais waliochaguliwa wameshatangazwa, mmoja alishaapishwa, mwingine bado ni mteule naye ataapishwa muda si mrefu (kama bado). Wabunge nao...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…