Elections 2010 Ushauri kwa Dk Slaa

Alwaz

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,106
10,802
Binafsi sikukupigia wewe kura yangu ingawaje niliwapigia kura wagombea wa chama chako ngazi nyengine.
Kampeni zako na za wapinzani wako ndizo zilizoniongoza kufanya hivyo.
Najua machungu uliyonayo ni makubwa sana.Leo sina nia mbaya na wewe na nataraji mashabiki wako hawatonielewa vibaya.Ndio maana nakuletea salamu kutoka ndani ya moyo wangu.
Sababu inayonifanya nifikishe salamu zangu za dhati kwako ni kwa vile mimi ni mpenzi wa haki na nimegundua kuwa katika huu uchaguzi na nyengine kote hakuna haki.Napendelea mshindi lazima atokane na ukweli wa kura na matokeo ya kampeni pekee na si vyenginevyo.

Kwa mwaka huu yawezekana kura ulizopata sio aslimia kama ilivyotangazwa kutokana na sababu zozote zile.Hata hivyo uwe na uhakika kwamba hata haki kikamilifu ingetendeka basi uwezekano wa wewe kwamba ungekuwa mshindi ni mdogo.
Kubwa ambalo napenda ulielewe ni kuwa hizi chaguzi zina mikono kutoka mbali.Mshindi huamuliwa miongoni mwa wagombea kulingana na maslahi ya hiyo mikono.Yawezekana kutokana na uchanga wako katika siasa hukuyajua haya.
Kwa juhudi yako pekee na wafuasi wako haiwezekani kubadili hii hali.Hivyo baada ya huu uchaguzi unachokisema kiwe ni kwa kupima sana.

Nakushauri uwe mvumilivu na jifunze mengi kutoka kwa mgombea mwenzako;Seif Shariff Hamad.Ikiwezekana safiri ukutane naye.
 
Mabadiliko yanaletwa na watu na watu wenyewe ndo sisi.
Unaongea maneno yale yale aloambiwa Mwalimu Julius Nyerere na akina Syks miaka ile ya 50 kwamba asiingize suala la kudai Uhuru ndani ya TAA kwani ni vema apime maneno yake asije watibua Waingereza wakawanyima raha zote walizokuwa wakipata ndani ya TAA.
They were all wrong and anyone who process infor in the same way today is wrong too.

Huu ni uoga wa kuku na ushauri wa kutoona mbali.

Kwa mtaji huu wa KiCCM nadhani hakuna haja ya kuwafunga wezi wa kuku na mbuzi kwa sababu wizi sasa ni sehemu utendaji wa kazi za serikali.
 
We Ami huna lolote,we ndo una ufinyu wa mawazo,kaa utulie na kufikiri ndipo utoe mawazo yako.
 
ushauri mzuri sana... "ila kwa nini hukumpigia kura?"
 
Ami,you are talking nonsense.shut your mouth and stay quiet.you have nothng but a coward cow
 
Mapambano mahakamani na UN mpaka kifahamike!! Dawa ya moto ni moto. Ikishindikana ni kuingia msituni, hakuna jingine.
 
Huu ni upuuzi. Dr Slaa kama ni mchanga ktk siasa sijui aliyekomaa atakuwa nani. Au ukomavu kwenu ni kuitikia ndio? Bila kujali kweli. Watu kama nyie ndio mnaangamiza nchi yetu na leo na kesho kweli itadhihirika.
 
Msimamo wa Dr.Slaa ni kwamba kura zihesabiwe upya basi,kura zake halali zionekane hata kama ameshindwa,
 
Nani atamsikiliza!.Ndio maana nikamtaka asafiri akazungumze na Seif.
Nyinyi hamna jema mutakalomfanyia dkt.Slaa,mbali na kumuongezea machungu.
 
Ni uhuru wa maoni,lakini pia kumbuka ukombozi hauji hivi hivi.Lazima wawepo watu wenye azma ya kweli na machuungu yatakuwepo tu hata wakati mwingine watu wanapoteza maisha kwa ajili ya kulikomboa taifa.Kwa hiyo ni watu shujaa wanatakiwa kuungwa mkono.Hayo mambo ya kupanga nani awe kiongozi duh ndio ujinga tusioutaka,wenye mamlaka ni wananchi kupitia kura zao na si vinginevyo.Na ndicho tunachokikikataa na kukipinga kwa nguvu kabisa,hao wachache wanatuamulia viongozi kwa maslahi yao na si ya taifa.Slaa amekomaa,anaeleweka na anakubalika na anachotaka kulifanyia taifa hili kina mantiki.
 
Kwa hiyo Ami, Ushauri wako ni kuwa awe au afanye kama Seif? Nafikiri hukujiandaa vizuri kumshauri Dr Slaa! Fikiri tena na kisha fanya maandalizi!
 
Binafsi sikukupigia wewe kura yangu ingawaje niliwapigia kura wagombea wa chama chako ngazi nyengine.
Kampeni zako na za wapinzani wako ndizo zilizoniongoza kufanya hivyo.
Najua machungu uliyonayo ni makubwa sana.Leo sina nia mbaya na wewe na nataraji mashabiki wako hawatonielewa vibaya.Ndio maana nakuletea salamu kutoka ndani ya moyo wangu.
Sababu inayonifanya nifikishe salamu zangu za dhati kwako ni kwa vile mimi ni mpenzi wa haki na nimegundua kuwa katika huu uchaguzi na nyengine kote hakuna haki.Napendelea mshindi lazima atokane na ukweli wa kura na matokeo ya kampeni pekee na si vyenginevyo.

Kwa mwaka huu yawezekana kura ulizopata sio aslimia kama ilivyotangazwa kutokana na sababu zozote zile.Hata hivyo uwe na uhakika kwamba hata haki kikamilifu ingetendeka basi uwezekano wa wewe kwamba ungekuwa mshindi ni mdogo.
Kubwa ambalo napenda ulielewe ni kuwa hizi chaguzi zina mikono kutoka mbali.Mshindi huamuliwa miongoni mwa wagombea kulingana na maslahi ya hiyo mikono.Yawezekana kutokana na uchanga wako katika siasa hukuyajua haya.
Kwa juhudi yako pekee na wafuasi wako haiwezekani kubadili hii hali.Hivyo baada ya huu uchaguzi unachokisema kiwe ni kwa kupima sana.

Nakushauri uwe mvumilivu na jifunze mengi kutoka kwa mgombea mwenzako;Seif Shariff Hamad.Ikiwezekana safiri ukutane naye.

Trash. Ndumila kuwili. Huwezi kukiri mikono ya kupora haki huku unamshauri mtu avumilie. Hilo siyo la Slaa bali ni la sisi wote tulioibiwa kura. Mimi binafsi sitavumilia. Kuna ninachoweza kukifanya na nitakifanya
 
Nani atamsikiliza!.Ndio maana nikamtaka asafiri akazungumze na Seif.
Nyinyi hamna jema mutakalomfanyia dkt.Slaa,mbali na kumuongezea machungu.

Tunalo, tulimpigia kura hukumpigia. Tutamuunga mkono mapaka kieleweke. Ni kura zake halali ushindi ni baada ya kura halali. Unalo na wanalo
 
binafsi sikukupigia wewe kura yangu ingawaje niliwapigia kura wagombea wa chama chako ngazi nyengine.
kampeni zako na za wapinzani wako ndizo zilizoniongoza kufanya hivyo.
najua machungu uliyonayo ni makubwa sana.leo sina nia mbaya na wewe na nataraji mashabiki wako hawatonielewa vibaya.ndio maana nakuletea salamu kutoka ndani ya moyo wangu.
sababu inayonifanya nifikishe salamu zangu za dhati kwako ni kwa vile mimi ni mpenzi wa haki na nimegundua kuwa katika huu uchaguzi na nyengine kote hakuna haki.napendelea mshindi lazima atokane na ukweli wa kura na matokeo ya kampeni pekee na si vyenginevyo.

kwa mwaka huu yawezekana kura ulizopata sio aslimia kama ilivyotangazwa kutokana na sababu zozote zile.hata hivyo uwe na uhakika kwamba hata haki kikamilifu ingetendeka basi uwezekano wa wewe kwamba ungekuwa mshindi ni mdogo.
kubwa ambalo napenda ulielewe ni kuwa hizi chaguzi zina mikono kutoka mbali.mshindi huamuliwa miongoni mwa wagombea kulingana na maslahi ya hiyo mikono.yawezekana kutokana na uchanga wako katika siasa hukuyajua haya.
kwa juhudi yako pekee na wafuasi wako haiwezekani kubadili hii hali.hivyo baada ya huu uchaguzi unachokisema kiwe ni kwa kupima sana.

nakushauri uwe mvumilivu na jifunze mengi kutoka kwa mgombea mwenzako;seif shariff hamad.ikiwezekana safiri ukutane naye.
angalia kwenye red na green:wewe ni kibaraka.uwezo wa slaa huwezi kulinganisha na mtu yeyote kati ya wagombea wote wa mwaka huu,tuna marais 2 kwa sasa,slaa kipenzi cha wananchi na wapenda mabadiliko na kikwete rais wa kuchakachuliwa
 
Think Big, we Ami nadhani unaurojo kichwani kwako si bure, unadhani wewe unaweza kuwa miongoni mwa washauri wa Dr Slaa kweli, umejidanganya kajipange upya, ujifunze vizuri kwa makini sana kuhusu Dr S, sio kukurupuka toka usingizini na kusema haja komaa kisiasa huyo Seif wako A.k.A Sawa sawa? Ndo umemuona kakomaa sijui uliamkia wapi na hoja zako zisizoeleweka. Utabaki hivohivo. Ushauri wangu kwako. UKIBADILIKA KUWAZA KWAKO, UTABADILIKA KUISHI KWAKO.
 
Binafsi sikukupigia wewe kura yangu ingawaje niliwapigia kura wagombea wa chama chako ngazi nyengine.
Kampeni zako na za wapinzani wako ndizo zilizoniongoza kufanya hivyo.
Najua machungu uliyonayo ni makubwa sana.Leo sina nia mbaya na wewe na nataraji mashabiki wako hawatonielewa vibaya.Ndio maana nakuletea salamu kutoka ndani ya moyo wangu.
Sababu inayonifanya nifikishe salamu zangu za dhati kwako ni kwa vile mimi ni mpenzi wa haki na nimegundua kuwa katika huu uchaguzi na nyengine kote hakuna haki.Napendelea mshindi lazima atokane na ukweli wa kura na matokeo ya kampeni pekee na si vyenginevyo.

Kwa mwaka huu yawezekana kura ulizopata sio aslimia kama ilivyotangazwa kutokana na sababu zozote zile.Hata hivyo uwe na uhakika kwamba hata haki kikamilifu ingetendeka basi uwezekano wa wewe kwamba ungekuwa mshindi ni mdogo.
Kubwa ambalo napenda ulielewe ni kuwa hizi chaguzi zina mikono kutoka mbali.Mshindi huamuliwa miongoni mwa wagombea kulingana na maslahi ya hiyo mikono.Yawezekana kutokana na uchanga wako katika siasa hukuyajua haya.
Kwa juhudi yako pekee na wafuasi wako haiwezekani kubadili hii hali.Hivyo baada ya huu uchaguzi unachokisema kiwe ni kwa kupima sana.

Nakushauri uwe mvumilivu na jifunze mengi kutoka kwa mgombea mwenzako;Seif Shariff Hamad.Ikiwezekana safiri ukutane naye.
atampata wapi Seif na sasa amewekwa ndani kishavuliwa kanzu na barghashia, na kuvikwa baibui! please give us a break!
 
Back
Top Bottom