Elections 2010 Ni Wakati Wa Vitendo: Kadi Yangu ya Chadema Hii Hapa

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,829
4,167
In.jpg Front.jpg


Hata mwanangu wa miaka miwili anajua Lowasa ni fisadi.

Nilimuonesha jana kwenye TV.

Nikamuita: "mwanangu njoo uone fisadi kwenye TV". Akaja.

Hawa CCM tunawaweza. Ni suala la kuthubutu tu.
 

Lenana

JF-Expert Member
Oct 10, 2010
421
78
nami nampango wakurudisha kadi za ccm na kuchukua yangu ya chadema!
 

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
20,964
46,192
View attachment 16377 View attachment 16376


Hata mwanangu wa miaka miwili anajua Lowasa ni fisadi.

Nilimuonesha jana kwenye TV.

Nikamuita: "mwanangu njoo uone fisadi kwenye TV". Akaja.

Hawa CCM tunawaweza. Ni suala la kuthubutu tu.
Jana mtoto wangu wa miaka mitano alirudi shuleni analia nikamuuliza kulikoni unalia akasema amechapwa shuleni kwa vile hajatoa mchango wa dawati, kwa kumtia machungu nikamwambia mbona hela nilimpa Lowassa aje kukulipia akanijibu Lowassa hajamuona akja shuleni. Leo wakati tunaangalia kuapishwa kwa Kikwete alipotelemka Lowassa nikamwonyesha YULEEEEE mwenye nywele nyeupe mtoto alikasirika sana. Najaribu kumtia machungu mtoto wangu ajue mapema mwizi wetu wa taifa ni nani.
 

QUALITY

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
853
115
Kesho nachukua 10 kwa ajili ya familia yangu. Sipotezi muda. Hata kama kuna foleni namna gani, nitasubilia
 

Balilo

Member
Nov 6, 2010
5
0
Jamani nisaidieni hivi swala la uspika makamba anahusikavipi,mbona inakuwa kama ni ishu ya chama?
Makamba anahusika kichama kwani anawatangazia wabunge wa CCM wanaotaka kugombea nafasi hiyo wachukue fomu. Mimi sioni kosa kwenye hilo kwani ni katibu wa CCM.
 

Mndamba Namba 1

Senior Member
Oct 19, 2010
113
3
Hata mimi wakuu jamii forum imenifungua macho na nna machungu mbaya na nchi yangu nipo frontline kuhakikisha mapinduzi ya kweli yanapatikana kesho baada ya sala tu najisogeza kino kukamata kadi yangu na kutoa michango yote halali,ntahakikisha nawashawishi vijana wenzangu wajiunge chadema hata wakimponda slaa kiasi gani sitawasikia maana inafahamika kuwa nabii akubaliki kwao.huku makongo juu ccm wamekiona cha moto rais kapata kura 800 tu.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom