CCM yadai mwaka huu ni waakinamama kufuatia uteuzi wa CC kwenye nafasi ya Uspika lakini uteuzi huo ni wa kumuenzi Mama Anne Makinda pekee kama Makinda na wala siyo wanawake kwa sababu Makinda ana...
Mbunge wa Sikonge (CCM), Said Nkumba, alidai kuwa wakati wa kampeni, Marando alikuwa akitumia lugha kali na za kashfa hivyo iwapo atachaguliwa kuwa spika atakuwa na lugha hizo hizo au...
Hivi hii imekaaje??
Uchaguzi unafanyika siku moja, kura zinahesabiwa wiki nzima lakini rais anaapishwa siku mmoja tu baada ya matokeo tena mbele ya wageni waalikwa kutoka nchi mbalimbali...
Nina nia ya dhati kabisa ya kuanzisha Tawi la chama cha CHADEMA ili kuimarisha chama from Grassroot level. Nimesukumwa kufanya hivyo kutokana na ukweli kuwa ninaishi eneo ambalo lina matawi mengi...
Source: Na M. M. Mwanakijiji, gazeti la MWANAHALISI, Jumatano, Septemba 17,2010:
Kwa muda sasa wanaJF wanakuwa wakichangia mawazo hoja ihusuyo wabunge waliopitishwa na kuhalalishwa na Tume ya...
Wadau mimi ninawasiwasi ufuatao juu ya serikali ya ccm ya sasa.
1. Imekuwa ni jambo la kawaida kwa ccm kuanza kutekeleza sera za wenzao hata kama si yao. Kwa mfano mwaka 2000 kwa mara ya kwanza...
Just imagine if we were receiving 30% of price of gold an ounce in comparison to 3%!
Yesterday, Gold reached high place by selling itself at price of $1420 an ounce. Sasa Mchungaji akifanya...
UNESCO to Africa: Don't swap heritage for progress
NAIROBI, Kenya The top official from the U.N. body in charge of preserving historical sites says the development of economies in Africa should...
CCM ni mfumo. Na ili kuuangusha mfumo wowote, lazima uufahamu.
Pamoja na ufisadi na rushwa vinavyoabudiwa na CCM, mfumo wao wameujenga katika kupumbaza watu wa vijijini hasa wasio na elimu...
Kutokana na kilichoonekana kuwa, kukikosesha chama kinachosifika kwa uchakachuaji ushindi wa kishindo Shinyanga mjini, imeonekana kuwa RPC na Mkurugenzi hawakuwa tayari kufuata maelekezo ya...
Mimi nimkereketwa sana wa Vyama Pinzani, hasa vile vinavyo onesha njia ya Kidemocrasia.. kutokana na hilo nilikuwa najaribu kufuatilia kwa karibu sana chama ambacho kilikuwa na nguvu Bara na...
Jana (12/11/2010) wakati akitangaza matokeo ya uchaguzi wa Spika, Katibu wa Bunge Dr. Thomas Kashililah alisema kuwa Anne Makinda alipata kura 265 kati ya kura 327 zilizopigwa. Aliutaja ushindi...
wakuu, baadhi ya vyombo vya habari vilimnukuu makamba akitangaza kwamba uspika safari hii kupitia chama chake sifa ni uanauke.
vyombo vingine vya habari vikaripoti kwamba jk ameshauriwa kumteua...
kama mnakumbuka vizuri Kilavu alizuia watu wote waliokuwa mbali na vituo walivyojiandikishia kupiga kura mahali walipokuwepo. Ukiangalia vipengele vya katiba, sababu zilizotajwa, aliyoitoa Kiravu...