Sababu kumi za kushuka kisiasa kwa CUF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sababu kumi za kushuka kisiasa kwa CUF

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by silver25, Aug 11, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nimkereketwa sana wa Vyama Pinzani, hasa vile vinavyo onesha njia ya Kidemocrasia.. kutokana na hilo nilikuwa najaribu kufuatilia kwa karibu sana chama ambacho kilikuwa na nguvu Bara na Visiwani yaani CUF... nika gundua kwanini sasa kimepooza sana ukifananisha na chaguzi zilizo pita,,

  zifuatazo ni sababu kumi za kushuka kisiasa kwa chama cha CUF

  1. Kumuweka mgombea asiye na mvuto, ambaye si chaguo la Wananchi
  2. Kukosa Wagombea Wa ubunge na udiwani wenye Sera Nzito na zenye kuhamasisha wananchi kuwachagua
  3. Uwezo wa uongozi wa wana CUF walio kwenye madaraka si wa kulidhisha sana, kulinganisa na Competition ya kisiasa iliyoko sasa
  4. Kukosa watu wenye kufanya Uwepo wa chama kwa mantiki inayo Fanana na Amani ya Nchi yetu, ikiwa ni pamoja na Kuziponda Hija za Raisi hata kama ni za msingi katika maendeleo ya nchi
  5. Kufanya maandamano yasiyo na msingi wala Faida kwa watanzania bali kuwapotezea Muda wananchi wa kuwasikiliza viongozi wao wanao waamini,,,
  6. Ubinafsi wa uongozi wa juu
  7. Office nyingi kuwa maeneo ya kidini, kufanya watu waamini ni chama cha kidini,,
  8. Moto wa kila uchaguzi,, ambao wasio na fikra wana tafsiri vibaya ""mfano Jinio kwa Jino""
  9. Kukosa mgombea mwenye nguvu kisiasa na Amasa ya kutafuta maendeleo na Kero za wananchi kwa ujumla
  10. Kuto kuaminiana
   
 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  11: Mwonekano wake wa udini unaofanya wengi tukiogope kama ukoma
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Silver 25: Ongezea moja -- la uswahiba kati ya CUF na mafisadi akina Rostam. Hapo ndiyo utapata picha kamili hasa kwa nini CUF inatokomea kunakostahili.
   
 4. K

  Kabonde JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2010
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 421
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Chama cha jihad hakina nafasi Tanzania
   
 5. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Maandamano yote ya KAFU huwa ni Ijumaa na yanaanzia misikitini baada ya swara ya Ijumaa - mmmhhh
   
 6. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Na hili jee -- la ndoa kati ya CCM na CUF inayofungwa chumbani? Huku sebuleni nako si uswahiba tu? Hawa CUF hawajioni wanachokifanya? Hadi sasa mimi naamini kuwa ndoa hiyo itapigwa chenga ya mwili tu -- ngojeni baada ya uchaguzi muone. Hamuijui CCM!!!
   
 7. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Na huyu Profesa anafikiri kwamba akigombea kwa mara ya nne basi, wananchi hatimaye watamuonea huruma na kumpa kura zao?
   
 8. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  duh!umesema kweli kabisa,cuf -waislam na chadema -wakatoliki.
  Sisi tuliobakia inabidi tuwe ccm!
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  [​IMG] [​IMG] [​IMG] "Never try to teach a pig to sing; it wastes your time and it annoys the pig."
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,549
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280
  Kununuliwa kwa Shariff Hamad na mafisadi. Tangu akatiwe pochi kubwa na mafisadi ambalo linaingia katika bank account yake kila mwezi basi amekuwa akikenua tu kila siku iendayo kwa Mungu, ameshakuwa mamluki
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Aug 11, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nguvu ya pesa mkubwa hiyo! Si unakumbuka hata yule kijana baada ya kuwekwa kamati ya madini, akawa si mwenzetu!
   
 12. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sasa hivi na sisi tunacho chama chetu cha kanisani tena kinachoongozwa na padri. tutamnadi kwa kumvisha ngozi ya kondoo ili watu wasijue kama katumwa na kanisa. Mtatukoma mwaka huuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!
   
 13. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #13
  Nov 8, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasahivi imeongezekana Hii "" kushirikiana na chama cha mafisadi ili kujiongezea nguvu,, we subiri tu next uchaguzi hakuna CUF na udini wao.
   
 14. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #14
  Nov 8, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  sasa imekuwaje tena ile peoplessss powerrrrr mnaielekeza kwa cuf badala ya ccm!!!!! Au tayari mmeshakubali matokeo na kugundua katu hamwezi kuiondoa ccm madarakani badala yake kisingizio kinakuwa cuf!!!!!!
  yangu macho!!!!
   
 15. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #15
  Nov 8, 2010
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Madarakani itaondoka tu! Watake wasitake! Huu ni Mwanzo tu
   
 16. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #16
  Nov 8, 2010
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Umeshalogwa na aliyekuloga kashakufa
   
 17. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #17
  Nov 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tena huyo Jamaa karooogwaa kweli kweli kaka,
  Hii tabia ipigwe vita yaani angekuwa Karibu ninge mparisasi za kiuno mbili tu
   
 18. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #18
  Nov 15, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Sababu ni moja tu "Chama cha Waislamu". Watake wasitake hiyo ndiyo sababu pekee na ushindi huku bara wasahau labda kwenye mikoa hiyo hiyo ya Lindi na Mtwara.
   
 19. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #19
  Nov 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huko Lindi na Mtwara Chadema imesha washa indicator kwasababu tunamikakati Kabambe ya kuchukua majimbo mengi ili kujihakikishia ushindi 2015
   
 20. J

  Jafar JF-Expert Member

  #20
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Sababu ya 11: Kujiunga na CCM kiaina
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...