Elections 2010 Hivi CCM mna uhakika hapa hakutakuwa na mafisadi?

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Katika kuandaa Baraza la Mawaziri Tanzania je Kakutakuwa na Mafisadi katika Baraza hilo? mimi nina wasiwasi kabisaaa
 
weng wao wamepigwa chini chaliiiiii,,,Wamepigwa chini chaliii,,, kwa kutumia uchakachuzi wengine wameweza kusurvive, kama Mahanga
 
Mo ninahofu kuwa wale mafisadi wakarudi katika wizara zile ambazo JK aliziunda kipindi anaingia Madarakani 2005,, sasa Lowasa akapata uwaziri Mkuu coz kashaanza kumsafisha
 
Mo ninahofu kuwa wale mafisadi wakarudi katika wizara zile ambazo JK aliziunda kipindi anaingia Madarakani 2005,, sasa Lowasa akapata uwaziri Mkuu coz kashaanza kumsafisha

Kumrudisha Lowasa kuwa waziri mkuu ni sawa na kuipindua nchi! Hafai hata kidogo japokua JK alimsafisha!:nono:
 
Katika kuandaa Baraza la Mawaziri Tanzania je Kakutakuwa na Mafisadi katika Baraza hilo? mimi nina wasiwasi kabisaaa
We silver25, kwa nini uwe na wasiwasi kuhusu uwepo wa mafisadi kwenye baraza la mawaziri, mafisadi sio watu bali ni tabia, mafisadi wote unaowajua wewe kabla hawajafisidi, walikuwa watu safi, walipoteuliwa na chama chao ndipo wakafisidi na kuitwa mafisadi, kwa vile hawajawahi kuadhibiwa chochote na chama chao kwa ufisadi wao, mpaka mkuu wao akiwanadi baadhi yao, then chama chao kinawakumbatia mafisadi, hata hao watakaoteuliwa wawe ni tayari mafisadi au watakuja kuwa mafisadi, wote wataishia kuwa wale wale.
MAFISI...AHADI!.
 
Ufisadi ni mfumo ndugu zangu na una network kubwa tu. Be sure kwamba hao mafisadi watakuwepo tu ktk baraza jipya. Kwanza Bunge hii ni lala salama. Kisha hao watu wanaifluence sana (financially/otherwise). Heba tuangalie walivyofanikiwa ktk swala la uspika. Rais JK hana uwezo wa kuzui nini mafisadi wanataka (assuming yeye si mmoja wao) akiwa mteuzi wa mawaziri.
 
Wewe ndo unasema kuna mafisadi wenyewe wanajiona wako poa na watu wao kama EL,RA,Chenge
 
hahahaha Nyani haoni k......... hahahahahaha hata Mbuzi beberu anajiona hanuki bali ananukia hahahahahahahahaha CCM we achatu
 
Jamani naona mafisadi watarudi. Checklist yangu kujua kama mafisadi watarudi kwa wingi kiasi gani ni kuangalia wizara nyeti kama itakuwa na mawaziri makini. Mfano wa wizara hizo bila kuachilia mbali kiranja mkuu (Prime Minister) ni;
1.Mambo ya Nje
2.Mambo ya Ndani
3.Elimu na
4.Miundombinu
Please huwa mtu apikwaye kwa next presidential candidate amekuwa akipitia Mambo ya nje so this time take a note nani ataletwa hapa.
Nawakilisha.
 
Hapo sijui, itakuwaje mafisadi ndo hao wametoa macho kichizi
 
Dah wewe wasema ulikuwa wapi nyuki dume> nakuombea maisha mema, lakini usionje kwa malkia maana nasikia unakuwaga mwisho wenu
 
Back
Top Bottom