minda
JF-Expert Member
- Oct 2, 2009
- 1,068
- 67
wakuu, baadhi ya vyombo vya habari vilimnukuu makamba akitangaza kwamba uspika safari hii kupitia chama chake sifa ni uanauke.
vyombo vingine vya habari vikaripoti kwamba jk ameshauriwa kumteua samwel sitta kwenye safu ya uongozi wake ili 'kumpoza.'
je, kumpa mtu uongozi kwa sababu ya jinsia yake (makinda) au kumpoza hasira (sitta) ni sababu tosha?