STEIN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,771
- 553
Wadau mimi ninawasiwasi ufuatao juu ya serikali ya ccm ya sasa.
1. Imekuwa ni jambo la kawaida kwa ccm kuanza kutekeleza sera za wenzao hata kama si yao. Kwa mfano mwaka 2000 kwa mara ya kwanza chadema iliongoza Halimashauri ya wilaya ya Karatu, na miongoni mwa mambo ya msingi iliyopewa halmashauri ni kuondoa kodi ya kichwa na kutafuta vyanzo vingine.
Hilo likafanikiwa na kodi ilipunguzwa kutoka 5000/= hadi 2000/= huku 500/= ikiwa kwa ajili ya mwanafunzi yeyote atakyefaulu kwenda sekondari.
2. Jambo lingine ambalo Chadema walikifanya ni kuhakikisha kila kata inakuwa na shule kabla ya 2005, nao CCM wakafanya sera ya Taifa shule kwa kila kata.
3. Ilipofika mwaka 2005 CCM wakafuta kodi ya kichwa kwa watanzania wote.
Hitimisho
Kama watafanya hivyo kabla ya 2015 itabidi CCM itoe fidia kwa wote waliokosa elimu bure toka zamani na kuwafidia watu wote wanaishi kwenye makazi duni kwa sababu kumbe hayo yanawezekana toka zamani ila kakosekana mtu wa kuwaambia.
Peepplleess PPoowweerr