Ndugu wana jamii, mimi nimekua nikufuatilia kwa karibu sana siasa za Tanzania. Nilichogundua ni kua vyama vingi sio vya upinzani ila wananchi wengi wameshindwa kugundua hilo nab ado wanawapigia kura wakidhani ni wapinzani.
CUF
CUFu sio tena chama cha upinzani Tanzania. Hiki ni chama kinachounada pia serikali ya Zanziba kikishirikiana na CCM. Kwa maana hiyo ni chama Tawala pia. Ukiangalia wabunge wengi wa kuchaguliwa wanatoka Zanzibar na kama sikosei wawili tu ndio hutokea bara. Kwa hiyo basi tusitegemee kama hoja ikipelekwa bungeni hata kamma haina maslahi kwa Taifa CUF itapinga, haiwezi kupinga kwa sababu yenyewe CUF ni sehemu ya Chama Tawala. Tumeshuhudia Tena chaguzi ndani ya bunge CUF imeiunga mkono wazi wazi CCM. Kwa hiyo wananchi waliowachagua wasitegemee makubwa sana kutoka kwao. Uchaguzi uja agenda kuu iwe nyie CUF mlikua madarakani je mmefanya nini? Pia kampeni zao hawataweza kuikosoa serikali
TLP
Hii inaeleweka wazi kua Mrema ni CCM damu, na hata kwenye kampeni zake alitamka wazi kua yeye ni CCM. Tusitegemee makubwa kutoka TLP
UDP
Cheyo alisema wazi alipohojiwa kua yeye anaiunga mkono CCM. Kwa maana hiyo basi UDP sio chama cha upinzania pia
NCCR
Hiki nacho hakieleweki, muda Fulani wanasupport CCM wakati hata kwa hoja za kutoisupport mwingine wanaikosoa. Mfano mzuri ni mwenyekiti, badala ya kushindana na CCM kwenye uchaguzi anaanza kushindana na CHADEMA.
DP
Mtikila yeye ni upinzani hasilia na hua anatangaza hiyo
CHADEMA
Hiki ndicho chama pekee kikubwa cha upinzani kilichobaki. Wananchi wakikipa support ya kutosha basi watarajie maendeleo makubwa sana ktk chi hii. Nasema hili kwa sababu ni chama ambacho kina sera nzuri na kimeonesha msimamo wa dhati na pia kuikosoa serikali kw uwazi kabisa. Tusipokipa support ya kutosha ina maan tutakua tunaangamiza upinzani Tanzanzi. Tujue kua kuana vyama vinaganga njaa na vingine ni vya upinzani kweli. Vinavyoganga njaa kama TLP n.k nimevitaja hapo juu.
Hata katika mdahalo wa kesho saa 1 jioni ITV usitegemee Rashid aliyekua kiongozi wa upinzani bunge lililopita atasema chochote cha kuiunga mkono CHADEMA kwani chama chake tayari kinakula keki ya Taifa pamoja na CCM.
Wa TZ chagua pekee la upinzani wa kweli ni CHADEMA na DP (Mch Mtikila)