Mtaka Haki
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 492
- 149
For Want of a Nail
For want of a nail the shoe was lost.
For want of a shoe the horse was lost.
For want of a horse the rider was lost.
For want of a rider the battle was lost.
For want of a battle the kingdom was lost.
And all for the want of a horseshoe nail.
"For Want of a Nail" is a proverbial rhyme showing that small actions can result in large consequences.
There is no better way, to describe the way some of our leaders have not been assigning their time and efforts in things that matters to the general public than the proverb above.
To them they see those things as "a Horseshoe nail."
Tumepoteza ile nia ya ushujaa wa kupigania haki za watu na maslahi yao na tunalinda hadhi ya chama na hadhi ya viongozi.
Suala la hadhi na heshima limepewa kipaumbele kikubwa sana Tanzania.
Ukitaka kumkosea mtawala wa Tanzania leo mwite ndugu fulani wakati yeye ni waziri au mbunge.
Tumelishana sumu ya ukubwa kiasi kwamba mahitaji ya watanzania na shida zao sio kitu tena.
Nawahimiza mawaziri na wabunge na hata rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania.
Pitisheni mahitaji ya watanzania mbele.
Suala kubwa linalopaswa kutawala katika vichwa vya viongozi ni suala la haki katika nchi hii.
Kiongozi mmoja alisema kuwa amani na utulivu sio kitu kilitokea kwa bahati tu ni tunda la haki. Ukitaka amani hii iondoke endeleza matendo yanayoonyesha kuwa haki inapuuzwa.
1. Suala la katiba mpya lipewe kipaumbele ni haki ya watanzania na sio favor.
2. Suala la tume huru ya uchaguzi lipewe kipaumbele - hii ni kuonyesha kuwa tunajali haki.
3. Suala la kuwashughulikia watuhumiwa wa ufisadi.
Kama sio watu wa Mungu kuomba sana, mwaka huu hali ya amani ya Tanzania ingekuwa historia.
Hivyo kuanza kuonyesha kujali na kuyazingatia hayo hapo juu itarudisha imani na hali ya kutaka amani ya Tanzania.
Mashujaa wanaokumbukwa hadi leo ni wale walioweza kujitoa mhanga na kukubali kuhatarisha vyeo vyao, mali zao na hata maisha yao kwa ajili ya wengine.
De Clerk atakumbukwa kuwa aliyepigania haki hata pale ambapo ilimpotezea maslahi binafsi. Wako wengi kama yeye.
Ni wakati wa kuhatarisha ubunge, uwaziri hata urais au uanachama wa chama katika kuhakikisha kuwa Tanzania inabakia kuwa nchi ya amani.
Bado tutapiga kelele kwa nguvu zote hadi mambo hayo matatu yapewe nafasi inayostahili katika nchi yetu. Tuanze kujali misumari midogo inayoshikilia kiatu cha farasi ili tuweze kushinda vita.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.