It would make more sense: CUF waungane na CCM ktk bunge la Muungano.

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,869
55,993
..kama CUF wameungana na CCM kwenye baraza la wawakilishi ni bora pia wakaungana ktk bunge la muungano.

..hatua hiyo itaondoa mvurugano ambao unaweza kutokea ikiwa CUF watakuwa ktk kambi ya upinzani ktk bunge la jamhuri.

..vyama vilivyobakia kama Chadema,NCCR,TLP, etc ndiyo viunde kambi ya upinzani ktk bunge la jamhuri.
 
Back
Top Bottom