Ikiwa leo jaji ocampo kataja majina sita ya watuhumiwa wa uvunjaji wa amani Kenya, ni wazi kukosekana kwa Uhuru Kenyata na Ruto katika kinyang'anyiro hicho kunatoa mwanga kuwa safari ya Raila...
Wakuu heshma zenu, mimi jamni nasapot kwa nguvu zangu zote CHADEMA na Dr Slaa, lakini swali langu ni kua hivi kama dactari kishinda, si atakua na wakati mgumu katika kuunda baraza la mawaziri? hii...
CHADEMA Bara, CUF Zanzibar, kipi kitatufaa?
WATANZANIA wenzangu, nianze kwa kuhitimisha tathmini yangu juu ya CUF, nikizingatia kigezo cha nne, cha utafutaji/utumiaji wa rasilimali kwa ajili ya...
Aliyekuwa Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (kulia, sasa ni Mayor) akikabidhiwa fomu ya kuwania umeya wa maispaa hiyo na Katibu wa CCM wa Wilaya ya Ilala Ernest Charle katika Ofisi za...
Hivi karibuni waziri mmoja mwanasiasa alikataa kwamba matumizi ya internet Tanzania hayapo chini sana. Alidai ilibidi ripoti (sikumbuki jina la waziri na kampuni iliyofanya utafiti) ilingane na...
Kamati Kuu ya chadema imemtambua JK kama Rais halali na kuagiza wabunge kushiriki shughuli zote za kitaifa. Kamati Kuu imekataa kura ya kutokuwa na imani na Zitto mpaka asikilizwe kwanza kwa...
Habarini Wandugu,
Kwanza kabisa nichukue fursa hii kuwapongezeni wale wote wenye michango yenye tija kwa taifa letu.
Niendelee na mada kwa kusema ya Kwamba Sisi Kama jamii yenye kuelewa nini...
• CHADEMA yaandaa mkakati mzito kudai Katiba mpya
na Mwandishi wetu
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa kitawasha moto wa madai ya kutaka Katiba mpya itakayokidhi...
Mwelekeo wa topic za siasa humu JF ni katika upeku peku, upashkuna, uongo, unafiki, wivu, kejeli, na mipasho, nad mwelekeo huu unaboa (unaniboa).
Nothing great in the posts that are currently...
Hatimaye manispaa ya ilala imepata meya mpya ambaye ni ndugu Jerry Silaa, amewashinda Abuu Juma, aliyekuwa meya na Bisalala Salum, taarifa zaidi baadae
Wana JF, meskia tetsi kwamba Badra Masoud, yule dada madoido wa lile shirika la Umama Tanesco ametimuliwa katika ile post aliyokuwa akishikilia ya Public Relation Officer, plz mwenye data za...
nependa kujua utaratibu wa nchi yetu amabayo tangu uhuru imeshindwa kutatua nguzo muhimu ya chanzo cha uchumi wa nchi yetu, Sisi wajasilimia mali Umeme ndicho chanzo muhimu cha kuendesha maisha...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa kitawasha moto wa madai ya kutaka Katiba mpya itakayokidhi matakwa ya wote.
Akizungumza na Tanzania Daima Jumatano katika mahojiano...
Hivi sasa ni heri kuishi bila kuwa na vyombo vya usafiri kama vile magari n.k,hapo mwanzo walikuwa wakilipia parking kwa siku na kiwango kikitegemea aina ya gari.Lakini sasa imetangazwa kwamba...
TAMISEMI Imetoa maagizo Wakurugenzi, Mayors, Wenyeviti wa halamashauri na wakuu wa idara wakae vikae mnamo tarehe 17/12/2010 kwa ajili ya utambulisho na kuanza mipango ya maendeleo.
Ila wanawake...
Msimamo wa Chadema haujabadilika
by Dr. Wilbrod Slaa on Tuesday, December 14, 2010 at 7:29pm
Kuna taarifa ambazo zimekuwa zikiandikwa na kuripotiwa na vyombo vya habari ambavyo zinaashiria...
Tanzania experienced a high tide in corruption levels this year compared to last year, according to new findings of a corruption perception survey (CPS) released recently by Concern for...