Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika shauli la wazee wa East Africa,serikali kupitia mwendesha mashtaka imemkataa judge mkuu Agustino Ramadhan kuwa haina imani nae katika shauli hilo,nchi inaelekea wapi? Bunge,mahakama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwezi Mei mwaka huu, Kikwete alienda Serengeti kupokea vifaru watano waliokuja kwa ndege kutoka Afrika Kusini huku akichekelea kama kawaida yake. Akiwa huko Serengeti, alikutana hotelini na rafiki...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu Zangu wanaJF, wapenda mabadiliko, Wasomi, waliochoka na Uongozi mbovu wa CCM toka Uhuru wa nchi hii miaka 49 iliyopita, naomba niwasilishe kisehemu tu ya utafiti mdogo nilioufanya baada ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mchakato wa kuwapata mameya,manaibu mameya na wenyeviti wa Halmashauri nchini kupitia CCM ,Unaendelea kukipasua chama hicho baada ya diwani mwingine wa chama hicho kujiuzulu wadhifa huo...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, amewataka wananchi waliopora viwanja na maeneo ya wazi nchini na kujenga, wajisalimishe kwa mazungumzo, kwa sababu huenda...
0 Reactions
157 Replies
14K Views
Wadau wenzangu,nimekua nikifuatilia TIN hapa tra kwa muda wa wiki moja saiv kila siku imekua njoo leo njoo kesho,mara mtandao upo down mara bosi hayupo. Ila leo naona wameamua kunitolea uvivu na...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Zitto's Profile · Zitto's Wall Zitto Kabwe Mjadala unaoendelea JamiiForums:Kwa nini zito kajitoa kwenye facebook? News Alert: Kwa nini zito kajitoa kwenye facebook? www.jamiiforums.comW 3...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Viongozi katikati waliokaa M/kiti Tawi UK MAINA OWINO kulia mwenye kofia ABRAHAM SANGIWA Katibu wa shina jipya Luton na kulia M/kiti shina jipya Luton ALBERT NTEMI na Wliosimama toka kulia mwenye...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
NOWADAYS, most women chose to keep their maiden names and not take on their husbands’ surnames when they get married, it may have become a fashionable thing to keep our names or even use both...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kidogo kidogo kumeanza kuzuka mjadala na hoja za kutengenezwa katiba mpya Tanzania. Mjadala huu na hoja hii ianzishwa na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani na kujaribu kushawishi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu wanaJF, Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwepo na wimbi la ufunguzi wa matawi ya ccm nje ya nchi kama vile UK, URUSI, n.k. Sikumbuki kama hali hiyo ilikuwepo enzi za wazee wetu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari watanzania wenzagu, wahenga walisema kwa mpiganaji kurudi nyuma si kushindwa vita bali ni kujipanga tu.hawa C.C.M. wajanja sana aise maana wanaendeleza haya maneno yao ya kebehi ilimradi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nafuatilia mjadala wa ama kuwepo au kuwepo kwa mchakato wa katiba mpya unavyoendelea hapa nchini. Lakini ukifuatilia kwa makini utagundua kuwa wadau wakuu serikalini,wasomi,.wananzuoni,Marais...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Dear Moderator, Allow me to convey my heartly felt sorrow to one of our misinformed brother who launched accusations towards our Christian brothers in this forum and he seems not to acknowledge...
0 Reactions
74 Replies
6K Views
Mnyika ubunge sio kujitolea pesa, haiwezekani kuleta maendeleo kwa kutoa pesa. Kinachohitajika ni mbunge mwenye uwezo wa kuikaba serikali itumie kodi ya wananchi kuboresha elimu...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Katika mdahalo wa wagombea urais 2010 mmoja mmoja, JK alisema anataka watanzania wamkumbuke. Mwandishi alimuuliza wakukumbuke kwa lipi? hakuwa na jibu. Mimi nina cha kumkumbuka 1. Rais mtalii...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wana JF: Leo ndiyo ile siku ya hukumu ya kesi ya Mzee wa Vijisenti -- ile kesi ya traffiki. Watakaokuwa mahakamani tunaomba watujulishe mambo yatakavyokuwa katika thread hii maalum.. Asanteni.
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Waziri Kombani, ameshindwa kabla hajaanza Samson Mwigamba NIMEKUWA nikijitahidi sana kutoa ushauri kwa watawala (si viongozi) wa nchi hii kutokana na kile ninachokiona huko mbeleni. Ushauri...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Africa has experienced few continuing hours where a single country has two presidents who have each proclaimed to have power over the nation. Its an ambigous situation where outgoing president...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…