nginda
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 744
- 82
Katika mdahalo wa wagombea urais 2010 mmoja mmoja, JK alisema anataka watanzania wamkumbuke. Mwandishi alimuuliza wakukumbuke kwa lipi? hakuwa na jibu. Mimi nina cha kumkumbuka
1. Rais mtalii kuliko wote duniani
2. Rais aliyewahi kudanganywa zaidi(sijui kama ni duniani)
3. Rais aliyewahi kuwatetea wafungwa wake aliowashataki mwenyewe (NAMAANISHA MAHABUSU MRAMBA)
4. Raisi mwenye kinyongo na visasi
5. Rais aliyeuza nchi yetu kwa wahindi (Rostam, Jitu patel, manji na wengineo)
6. Rais aliyehamishia ikulu kwa familia yake (BMW)
7. Rais wa kujaza matuta barabarani badala ya kujenga barabara
Je wewe?