Serikali haina imani na chief judge.

Serikali haina imani na chief judge.

Jituoriginal

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2010
Posts
349
Reaction score
32
Katika shauli la wazee wa East Africa,serikali kupitia mwendesha mashtaka imemkataa judge mkuu Agustino Ramadhan kuwa haina imani nae katika shauli hilo,nchi inaelekea wapi? Bunge,mahakama ,serikali, Mhimili upi una nguvu. Ya Bunge tumeshuhudia serikali kupitia chama chake ccm imeuchakachua mhimili huo Samwel Sitta,leo tena ni mahakama tena judge mkuu. Je mahakama nayo ikisema serikali iliyoko madarakani ni ya Kibagbo ni batli kwani ukweli ni kuwa imeingia madarakani kwa kuchakachua kura.
 
Back
Top Bottom