Chadema kumtambua kikwete wameona mbali,bado ni mwiba kwa c.c.m | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kumtambua kikwete wameona mbali,bado ni mwiba kwa c.c.m

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwene.1, Dec 16, 2010.

 1. m

  mwene.1 New Member

  #1
  Dec 16, 2010
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari watanzania wenzagu,
  wahenga walisema kwa mpiganaji kurudi nyuma si kushindwa vita bali ni kujipanga tu.hawa C.C.M. wajanja sana aise maana wanaendeleza haya maneno yao ya kebehi ilimradi wabunge wa CHADEMA wajikute wanahangaika na na hayo mabishano kiasi kwamba washindwe hata kuwatumikia wananchi ili mwisho wa siku waje kuonekana hawana maana hata kidogo.cha msigi wachape kazi ili iwe mwiba mkali zaidi utakao wang`oa 2015.binafsi naamini uchaguzi ujao C.C.M watisoma namba
   
 2. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2010
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM watasoma namba kama tu kuna tume huru ya uchaguzi, kiuhalali hata mwaka huu wangeisoma namba isingekuwa kuchakachuliwa kwa matokeo
   
 3. Muro

  Muro Senior Member

  #3
  Dec 16, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kweli mtanzania mwenzangu haya usemayo, lakini hao CHADEMA wanaona hili ni tatizo?au ni kama wasemavyo siasa za Tanzania ni za ubabaishaji.Unapiga kelele unapokuwa huna, ukipata kelele zinaisha. Ningependa kuona wabungea wanachangamkia matatizo ya wananchi na sio kugombania vyeo hapa inaashiria kuwa kila aingiapo madarakani atagombea tumbo lake na sio kama ilivyokuwa ikizungumzwa majukwaani..

   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  uchaguzi ujao C.C.M watisoma namba

  uchaguzi ujao C.C.M watisoma namba

  uchaguzi ujao C.C.M watisoma namba

  uchaguzi ujao C.C.M watisoma namba
   
 5. D

  DENYO JF-Expert Member

  #5
  Dec 16, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  DR SLAA ALIPATA 64% MKWERE JK 27% CH.....ZIKAWASHUKA WAKACHAKACHUA SASA UKWELI BWANA UNAUMA NGOJA TUONE ZIGO HILI LITAIFIKISHA WAPI CHAMA CHA MAJAMBAZI. MANAKE WAMEANZA NA SYTLE YA KUVAMIA DEGREE ZA HESHIMA KUPANDISHA PROFILE TOOO LATE, WAMEKUJA NA MBWEMBWE OOOOO WALIOVAMIA VIWANJA HEWA WALUDISHE TUTAONA, MARA VIONGOZI WANAFICHA MALI WATANGAZE ...TUTAONA... KILA MMOJA AMEKUJA KWA STYLE YA KUJISAFISHA MARA NO MGAO WA UMEME ....THREE DAYS LATER GIZANI IPO SHIDA KUBWA. KIONGOZI WA UMMA DR SLAA(PhD) anawanagalia tuuu wanavyoweweseka manake walifikia sehem wakatngaza hali ya hatri kupitia shimbo hii ilikuwa nooma
   
Loading...