Based on Mwanakijiji's analysis below, I am categorically herein urging this gentleman to apologize to Tanzanians for being such an hypocrate. This man with 1000 aliases, has been confusing the...
Kikawaida sikukuu kama hii ya Krismas huuambatana na mvua nyingi,mwaka huu umepita bila mvua na hii inaanza kunipa wasiwasi wa matatizo mengi kwa wanazengo wa Tanzania ,kama vile njaa,mgao wa...
Mambo katika nchi yetu hayaendi vizuri kabisa. Watanzania wanakufa kwa njaa, wanakosa huduma za kawaida (basic needs) za jamii kama elimu, afya, maji, mlo wa kawaida na mengine mengi. Kuna kikundi...
VIONGOZI mbalimbali wa dini wamemuonya Rais Jakaya Kikwete kwamba matatizo mengi ya kiutawala anayoyapata yanatokana na usaliti wa wasaidizi wake wa karibu huku wakisisitiza serikali itende haki...
Nani anafaa kuwa Jaji Mkuu?
Christopher Mtikila anampendekeza Jaji Salum Masati. Lakini siyo vizuri kwa watu wahalifu kama Mtikila,au watu wengine ambao ni majambazi sugu, kupewa nafasi...
MGOGORO wa kisiasa wa kuhusu uchaguzi wa Meya wa Jiji la Arusha, unaweza kuzaa mpasuko siyo tu kwa wakazi wa Arusha, bali hata kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya Katibu Mkuu wake, Yusuf...
Jk alitunyima fursa muhimu wakati wa uchaguzi kuweza kumpima yeye kama kiongozi wa nchi na mtu aitwaye Dk. Slaa kwa kukimbia mdahalo. Dk.slaa anaaminika kwa wasomi wengi kuwa na uwezo mkubwa...
Tanzania ni nchi nzuri ambayo viongozi wake wamekazania kuiharibu kwa makusudi. Tufunge na kuomba hawa watu wanotuharibia nchi yetu watahayari na kutuachia nchi yetu bila kutuachia matatizo...
Ninashangazwa na wanasiasa na wapambe wa CCM wanaowawekea vikwazo na kuwanyoshea kidole Chadema eti waachane na mpango wa maandamano kwa madai kuwa watanzania hawana utamaduni huo. Naipongeza...
Eti kauli hii ya DCI manumba kwamba mbunge wa arusha mjini hakuguswa na polisi yaani kupigwa kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari, isipokuwa ni propoganda za chadema tu.
pia Star tv...
Tanzania changes depends on the most creative and talented young people,rather than rely on politicians or who will be a president.
As a president has his part however he will never make a big...
Gazeti la Mzalendo la leo lina kichwa cha habari kisemacho.................Katiba isisabishe vurugu- Maaskofu.........................
Na maudhui iliyomo ni kuwa mchakato wa kudai katiba mpya au...
Gazeti la Tanzania Daima linatuhabarisha ya kuwa misuguano kati ya Waziri wa Afrika Mashariki Samweli Sitta na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa inainyanyasa CCM na kuleta migawanyiko na mifarakano...
Naomba na wafanyakazi wanaoaanza kazi kwa miaka MITANO(5) ya kwanza wawe wanapewa Tax Holliday na endapo watahamia kwa muajiri mwingine hiwe hivyohivyo mpaka hapo atakapo timiza miaka mitano kwa...
WanaJF
Nichukue fursa hii kwanza kuwatakia Heri ya X-mas na pia kuendelea kushukuru kwa michango yenu Adhimu. Kwa kuzingatia mawazo ya Wadau, ninapost mapema mada ya wiki hii kuwapa muda kufanya...
CUF na TUCTA wanapanga kuandamana. Ni sawa! Lakini jamani tungepiga kura kwa uangalifu, tungekuwa na sababu ya kuandamana? Si tuliyataka wenyewe? Tulipiga kura kama vipofu, sasa tunalalama kama...
waungwana baada ya muamko wa kutaka katiba mpya mm nilikua na mapendekezo haya yafuatayo katika ucahguzi wa kumchagua Rais wa Jamhuri yetu ya muungano.
kwanza ningependa kuona kuwa Rais wa...
Huyu Kipara aka Kipara aka Kipara ndio aibu kubwa ya mwaka huu kwa UDSM...
Chuo hiki kinafahamika kwa mihemuko ya kisiasa hapa nchini lakin mamluki lukuki wameamua ku-dilute ile DARUSO...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Jaji Frederick Mwita Werema kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuanzia leo...