ukame na maendeleo ya uchumi wa Tanzania

Yasada

New Member
Dec 26, 2010
1
0
Kikawaida sikukuu kama hii ya Krismas huuambatana na mvua nyingi,mwaka huu umepita bila mvua na hii inaanza kunipa wasiwasi wa matatizo mengi kwa wanazengo wa Tanzania ,kama vile njaa,mgao wa umeme wakupindukia,na kupanda kwa maisha in general.ukiwa kama baba wa nyumba lazima kichwa kianze kuyafikilia mambo kama haya na utapata maswali mengi yakujiuliza nini kinatka kutokea?
Je? serikali yetu iliyo jaa ubabaishaji wa ahadi nyingi wakati wa uchaguzi imejipaje kwa hali ya hewa hii ambayo naona kama inaanza kutishia amani? lisije likawa nalo ni suala la zalula kama kawaida yao wao kila jambo ni zalula,utafikili kama walikuwa likizo ya kuona matatizo ya Nchi yao.
Wakumbuke sasa wanazengo wanaangalia kila kitu kwa makini sana wjipange mapema .nawatakia kheri Krismas na Mwaka mpya 2011.
 
Kama kawaida tunaongozwa na matukio! Tunasubiri yatokee halafu tutajua huko mbeleni!
 
Back
Top Bottom