Dawa ya kupinga ufisadi: Ni maandamano au Migomo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya kupinga ufisadi: Ni maandamano au Migomo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by RMA, Dec 26, 2010.

 1. R

  RMA JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CUF na TUCTA wanapanga kuandamana. Ni sawa! Lakini jamani tungepiga kura kwa uangalifu, tungekuwa na sababu ya kuandamana? Si tuliyataka wenyewe? Tulipiga kura kama vipofu, sasa tunalalama kama vichaa! Na bado tutaandamana kama vipofu na kujikuta tunajikuna maji ya kuwasha kama vichaa!

  Watanzania kilio cha nini? Maaandamano ni suluhisho? Kama kweli ipo nia thabiti ya kupinga utawala mbovu, dawa madhubuti kwa sasa ni migomo ya nchi nzima kila kona ya nchi. Maandamano hayana tija. Si mtaambulia maji ya kuwasha tu? Iwapo migomo haiwezekani, basi kaeni kimya mnyolewe vizuri!

  Ni nafuu umeme ungepanda kwa asilimia mia na saba ili tupate akili, kwa kuwa siasa za Tanzania zimekuwa mithili ya ushabiki wa Yanga na Simba bila kuangalia uhalisia wa maisha. mak.ralph@yahoo.com
   
 2. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2010
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,831
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  RMA nakuunga mkono,kufanya maandamano ni kujidanganya coz haitaleta effect yoyote,la msingi ni kufanya mgomo nchi nzima!
   
Loading...