Nani anafaa kuwa Jaji Mkuu,kumrithi Augustino Ramadhani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani anafaa kuwa Jaji Mkuu,kumrithi Augustino Ramadhani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Andrew Nyerere, Dec 26, 2010.

 1. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #1
  Dec 26, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  Nani anafaa kuwa Jaji Mkuu?
  Christopher Mtikila anampendekeza Jaji Salum Masati. Lakini siyo vizuri kwa watu wahalifu kama Mtikila,au watu wengine ambao ni majambazi sugu, kupewa nafasi kumpendekeza Jaji Mkuu,au kumpendekeza Jaji yoyote.
  Wapo watu watatu ambao wanatajwa;Othman Chande,Bernard Luanda na Stephen Bwana. Hawa wawili wa mwisho siwafahamu.
  Lakini namfahamu Jaji Othman Chande. Nadhani angefaa sana kuchaguliwa kuwa Jaji Mkuu. Huyu ametumikia katika Mahakama ya Kimataifa ya Arusha,inayohusu mauaji ya kimbari ya Rwanda;ametumikia East Timor. Nadhani huyu anafaa.
  And,by the way,jina lake siyo Othman Chande. Jina lake ni Mohamed Chande. Othman Chande ni kaka yake,ambaye ni Mkufunzi wa Sayansi UDSM,au alikuwa Mkufunzi wa Sayansi kule,kama sasa hayupo.
  Wale wengine siwafahamu,lakini sijui wanaweza vipi kuwa bora kuliko Mohamed Chande.
   
 2. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mmmh! mkuu mbona unaingilia haki za watu wengine??

  Ni vizuri ukatoa maoni yako na pia uache wengine watoe maoni yao kwa amani.

  BTW huyu Jaji Chande na yule mkulu wa UWT sio ndugu?
   
 3. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #3
  Dec 26, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  Mkulu wa UWT ni nani? Simfahamu huyo Mkulu wa UWT. Siwezi kukumbuka mara moja ni nani mkuu wa UWT. Lakini sidhani kama wanahusiana na Jaji Mohamed Chande.
  Kuhusu majambazi sugu kumchagua hakimu. Hili ni jambo ambalo linapaswa kulaaniwa. Hili ni jambo ambalo wanalijadili sana katika siasa za Uingereza. wahalifu hawapaswi kurusiwa kupiga kura kumchagua hakimu.
   
 4. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mimi ningempendekeza Judge Ishengoma aliyeteuliwa na JK toka IMMA ADVOCATE
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Dec 26, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180

  Augustino Adeladi Mwarija
   
 6. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #6
  Dec 26, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,520
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Huo utani sasa.
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Dec 26, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  wewe mtu ni mdini sana na sijui una faidika nini na udini wako huo,...#
  mtikila ni mchungaji,leo hii unamuita mhalifu,jambazi......huyo othmani wako kwa kuwa ni muislaam ndo maana una mpendekeza ua?
  nadhani anaye wateua atatumia vigezo kama vyako maana inaonekana mnafanana mawazo
   
 8. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #8
  Dec 26, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  naomba tu asitumia "ushetani" kama lilivo jina lako kuchagua jaji,...
   
 9. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #9
  Dec 26, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kura za kumchagua hakimu zinapigiwa wapi na lini?kampeni ziko wakati gani?
  acheni udaku nyie
   
 10. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #10
  Dec 26, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  1.kamponda mch.mtikila ambaye ni mtu kama yeye tu ambaye yuko huru kutoa maoni yake (huku ni kuingilia uhuru wa maoni wa mtu)

  2.kumponda mchungaji na kumpendekeza muislaam ni udini ulio kithiri na naamini ndivo itakavo kuwa kwa jaji atakae teuliwa

  3.kasema majambazi na wahalifu kama mtikila hawa takiwi kupewa nafasi ya kupendekeza nani awe jaji mkuu( hapo hapo yeye anapendekeza,tutajuaje kama yeye sio mchawi?)

  4.mapendekezo ya nani awe jaji huwa yanafanyika lini na wapi?au yeye ni mshauri wa raisi?

  5.kaleta mada tujadili (na watu wa kujadili ) au kaja kutukana na kukashifu watu hapa?

  6.NI UPUUZI MTUPU JAPO TITLE LA HABARI YAKO LINA VUTIA KUANGALIA KILICHOMO NDANI
   
 11. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #11
  Dec 26, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hivi wewe ni mtanzania kweli?
  Au umelewa nini?
   
 12. M

  Mwanaume Senior Member

  #12
  Dec 26, 2010
  Joined: Oct 11, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nadhani judge atakayekuwa muhimu na yule ambaye wananchi wanamhitaji ni yule ambaye atazingatia maslahi ya taifa badala ya yale ya dini yake na huyo anayewateua.
   
Loading...