TAX HOLLIDAY kila shemu vipi kwenye P.A.Y.E MBONA HAMNA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TAX HOLLIDAY kila shemu vipi kwenye P.A.Y.E MBONA HAMNA.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kibanga Ampiga Mkoloni, Dec 26, 2010.

 1. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,590
  Likes Received: 1,676
  Trophy Points: 280
  Naomba na wafanyakazi wanaoaanza kazi kwa miaka MITANO(5) ya kwanza wawe wanapewa Tax Holliday na endapo watahamia kwa muajiri mwingine hiwe hivyohivyo mpaka hapo atakapo timiza miaka mitano kwa muajiri mmoja ndio aweze kukatwa hiyo KODI kama Makampuni ya simu na Mahotel makubwa yanavyofanya.

  Magufuli juzi kasema haya wakati akishuhudia kusainiwa kwa mikataba mipya saba ya ujenzi wabarabara.

  "He called for an end to the tradition of random billboard erection on road reserves, including black spot areas, and said the two years tax holiday extended to big advertisers by municipals and Local Governments Authorities (LGAs) should stop forthwith."


   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kweli inashangaza mtu fresh from school unaanza kulimwa kodi za kufa mtu.kwa upande mwingine unahitaji kuilipa bodi ya mikopo.
  YES WE NEED TAX HOLIDAY!!
   
 3. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  What I know Tax holiday is granted to Strategic Investors who invest more than 25ml USD and only in Corporate tax (30%) Rest of investors are paying all taxes right away as soon as the project is in full swing.

  So PAYE iendelee though the rate need to be reviewed as its burden to employees

  If we have any tax consultants in JF can clarify the topic
   
Loading...