Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jamani hiki sio kiinimacho? Kweli IPTL, DOWANS zitashughulikiwa kwa hali hii. NAHISI kamati hii ni nzito sana kwa mhe. makamba.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Egyptian Vice President Omar Suleiman says President Hosni Mubarak has stepped down and ceded authority to the supreme military council; This means people's power has won in Egypt YES... WE...
0 Reactions
0 Replies
980 Views
najua wengi wenu mnamiliki laptops,na mnaingia mtanadaoni anytime home and away kwa kutumina modem (sijui ni king'amuzi kwa kishwahili) zenu. lkn tusishahau kuwa moja ya mafisadi wanaoyumbisha...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwakweli imedhihirika wazi kwamba Tanzania inahitaji Mapinduzi ya Kizalendo kwa haraka kuliko katiba Mpya,Katiba is just a peace of paper,kama kuna anayebisha aniambie ni kifungu gani katika...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Asalam Aleikum waungwana. Leo mimi kama mtanzania mwenye uchungu na watanzania wa dini zote naomba kuchukua nafasi hii kuwashauri ndugu zangu waislamu. ACHANENI NA CCM INAWALOSTISHA. SAbabu ni...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Mh.RA is among the longest Serving MPs,amona spika wanaingia na kutoka,ameona mengi akiwa bungeni,he doesnt talk much ktk bunge,ila wananchi wake wanaridhika na utendaji wake,wanampenda sana. He...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana JF nimekuwa nikifuatilia speech mbalimbali za wawakilishi waliochaguliwa na wananchi kabla na baada ya uchaguzi. Wenye upeo mkubwa wa kufikiri na kuchambua mambo mtagundua ya kwamba si...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naangalia live jinsi wamisri walivyo na furaha kwa kuweza kuleta mapinduzi. watasheherekea hadi asubuhi. nilivyochoshwa natamani ingekuwa imetokea TZ. Naamini nitaishi kuona siku ccm inangolewa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Uwepo wako kukosekana katika kiti cha Spika wa bunge kumeonesha mapungufu mengi sana! Hekima zako, busara, utulivu na umakini katika kuendesha shughuli za bunge ndizo hasa zinatufanya tukumbuke...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
jamana kwa mliokua mnafatalia bunge la jana, mh. Mbunge wangu wa arusha mjini, aliomba mwongozo, au ni mbinu za kutaka kum'bambikizia kesi kuwa kamchafulia jina waziri mkuu??
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Muda mfupi uliopita CHEYO WA UDP Amechaguliwa kuongoza kamati ya PAC.
0 Reactions
330 Replies
29K Views
Kauli ya Pinda yaamsha mapya Mbunge Lema awekwa mtegoni Spika Makinda awaka, asema� Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (aliyesimama)...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
mbunge wa lushoto Henry Shekifu wakati anachangia mada leo bungeni emesema Uchumi wa Nchi umekuwa kwani ndege(eroplane) zinapishana uwanja wa ndege, anammanisha kuwa uwingi wa safari za ndege...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kikwete,Waziri Mkuu,IGP uongozi wenu utaheshimika sana kama utawala wa Sheria utafuatwa.Hatuwezi kuendelea kubebana, kuvumilina ,kwa upendo na Amani kama Haki za Msingi za Mtanzania...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna kila dalili kuwa huyu mama atashindwa kulimudu bunge la kumi. Anaendekeza sana itikadi za vyama kuliko ukweli. Kwa mtu yeyote mwenye jimbo lake hata kama angekuwa yeye ndiyo mbunge wa arusha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu sijui ninyi mtazichukuliaje habari hizi, kwangu mimi naziona ni habari za kusikitisha. Habari kutoka chanzo cha habari cha kuaminika kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Nyerere...
0 Reactions
153 Replies
16K Views
Katika kikao hiki kinachoendelea tunashuhudia mambo mengi ambayo hatukuyatarajia yatokee. Nashawishika kusema kwamba, kwa kujua ama kwa kutokujua, Makinda kama spika na CCM ambacho ni chama tawala...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Je bunge hili litafanana na lile la msekwa?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hakuna anayeweza kupinga kuwa hali iliyokuwapo Zanzibar ilikuwa tete kabla ya muafaka, hili halipingiki .lakini kile ambacho ccm wanajivunia kuwa wameonyesha nia safi na ukomavu wa kisiasa ni wao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima zenu wapendwa! Hili nalo linanichanganya mwenzenu sijui kama mwenye kuweza kunisaidia. Kwa mtazamo wangu mimi nadhani wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni wengi kuliko kazi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…