hivi godbless lema aliomba mwongozo au alimtuhumu waziri mkuu?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi godbless lema aliomba mwongozo au alimtuhumu waziri mkuu??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Architect E.M, Feb 11, 2011.

 1. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 813
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  jamana kwa mliokua mnafatalia bunge la jana, mh. Mbunge wangu wa arusha mjini, aliomba mwongozo, au ni mbinu za kutaka kum'bambikizia kesi kuwa kamchafulia jina waziri mkuu??
   
 2. Ngomo

  Ngomo Senior Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 199
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  aliomba muongozo sio kumtuhumu
   
 3. k

  kiwadama Member

  #3
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka ata mm nilishangaa kuona lema ameambiwa adhibitisha kana kwamba alimtuumu wazir mkuu kumbe alikuwa anaomba mwongozo.KAMA KUNA M2 ANAJUWA KANUN VZUR A2SAIDIE KU2PA MWONGOZO NA CC KTK HILI
   
 4. Tidito L

  Tidito L Member

  #4
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Ako ka mother kana jazba,hata alikuwa hajaelewa nn Lema kauliziza,yy kakurupuka tu kumlinda waziri.
  Ngoja siku zaja hii nchi itakuwa kama Palestina!
   
 5. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  duh huo ndio ushahidi kuwa ccm hawakuchagua spika kwa uwezo bali kwa maslahi yao kwa kigezo cha gender dada zangu na mama zangu wasikubali kutumiwa kwa maslahi ya baadhi ya watu kwa kisingizio cha kupewa kipaumbele in real sense huo ndio ukandamizaji unaokuja kwa jina jipya la kipaumbele coz wanakuwa hawana maamuzi for the reason wanakuwa wamepewa chance wakati hawana uwezo
   
 6. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Aliomba mwongozo wa spika na kuuliza swali kama mtu mkubwa eg Waziri Mkuu ikathibitika kadanganya umma ni kifungu kipi cha sheri kinapaswa kumwajibisha?

  Sasa Mweshimiwa speaker ilimchukua kadri ya saa kutoa jibu na akaja akasema Lema atoe ushahidi sasa sikumwelewa Speaker anamaanisha nini?

  Je speaker anaelewa alicho ulizwaaa au alikurupuka kujibu au ushauri aliopewa ulikuwa hauna mwelekeo wao wakaubadirisha ukawa Tuhuma ili waseme mbunge huyo hafai au nini?

  Nisha sema kitambo kuwa Anna makinda anaitaji msaaada mkubwa kisheria lasivyo hii miaka miwili ya mwanzo itamwia vigumu sana huyo Speaker.

  Nadhani CCM wao wanafanya njama huku Chadema wanataka kuhakikisha Speaker hana uzoefu na hapo ndipo pagumu na mama tayali alisha anza onyesha upendeleo kwa serikali ndio yale yale walikuwa hawayataki kwa Sitta na sasa mama ndio anayafanya sasa kwa serikali nadhani ndivyo serikali ilitaka.
   
 7. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Haka kamama ss kamechanganyikiwa sana Godbless Lema y aliomba mwongozo tu na sio km alimtuhumu,tatizo mbunge wa chadema akiuliza swali kenyewe kanakua mbele zaidi kutafuta kosa la kumsulubisha,kiukweli kameprove failure ya kuongoza bunge kwa haki ni bora angemuuliza alikua anamaanisha nn kusema hivyo kuliko kukurupuka na kumpa muda wa kujieleza.
   
 8. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  CCM wanataka kutuharibia nchi.
   
 9. Mwishowao

  Mwishowao Senior Member

  #9
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 192
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  :clap2:Nafikiri kua sisiem watazidi kutufanyia njama lakini watambue kua kila kitu kina mwisho wake lakini kwa hili si mbaya sana jibu lipo ni kua alisema wameuawa raia wa TZ 3 wakani ni waTZ wawili na mkenya mmoja hiyo inatosha kudhibitisha hili.
   
 10. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Kwa habari nilizo pata nikuwa Details ndio zinakusanywa kwa kasi huko Arusha na TISS nao wako mitaaani kuchunguza ili kuibeba serikali na ndio makada wa CCM
   
 11. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2011
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Pamoja na mapungufu yake mengi Mh. Lema, kwa mujibu wa picha tulizoziona na kusikia katika runinga zetu jana usiku, nashindwa kuelewa kosa lake ni lipi. Ule ulikuwa ni udikteta na jazba zisizokuwa na maana kwa upande wa Mh. Spika. Inasikitisha kwa kweli
   
 12. S

  Schofild JF-Expert Member

  #12
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Lema aliomba mwongozo wa spika matokeo yake akageuziwa kibao cha kumwita waziri mkuu mwongo.sasa hivi ni zamu ya Chadema kuuthibitishia umma wa waTz ukweli wa kilichotokea Arusha maana yeye Lema anaujua ukweli kwa kuwa alikuwepo na si kama Waziri Mkuu alivyosema kuwa aliambiwa.Go on CDM.
   
 13. t

  tibe22 Member

  #13
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Spika wa bunge anatakiwa awe mwanasheria kitaaluma sio kuchukua mtu tu hana uwezo hata wa kutafsili kanuni za bunge na kumpa nafac kubwa kama huyu mama sasa hebu tazama jinsi gani anaabika kwa kushindwa kuendesha bunge huku akijisifu kukaa bungeni miaka 35 aibu hii si kwa makindi tu ni kwa wana ccm wote waliona huyu anafaa na kumtoa sita chuma cha pua kwa interest zao za kuiba na kuitafuna nchi kwa kuficha maovu yao kupitia spika asiye na uwezo kama huyu, Anne makinda unatutia aibu kwa karne hii kushindwa kujua umeulizwa nini, na bunge sio familia kusemaunaamua utakavyo bwana watu wanataka kuoji na kujua ninikinaendele na cha msingi hao watu wametumwa nawananchi kwa wewe kuzuia hoja zao ni kuzuia hoja za wananchi.
   
 14. P

  Paul S.S Verified User

  #14
  Feb 11, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Kuomba muongozo ni jambo la kwanza lakini ndani ya huo mwongozo unaweza ukatukana, ukakashfu, ukadhalilisha nk.
  Lema aliomba muongozo kuwa mtu kama PM anapo lidanganya bunge, mbunge achukue hatua gani?, kitendo cha kusema PM kadanganya bunge ni kizito na lazima kithibitishwe kwanza sasa tatizo ni nini?.
  Mwenyewe amekiri na amesema atapeleka huo ushahidi ninyi wasi wasi wenu nini?
   
 15. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #15
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,731
  Likes Received: 1,438
  Trophy Points: 280
  je ikithibitika pinda alidanganya ndipo speaker atatoa mwongozo au mtaendelea kuchakachua?
   
 16. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #16
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Yaani Lema kageuziwa kibao kweupeeee, hiyo ndo TZ zaidi ya uijuavyo, tutaona mengi mwaka huu, mpaka mitano iishe! macho yamepofuka walah
   
 17. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #17
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Yangu macho. Hivi kama Mh Lema akipeleka ushahidi unaoonyesha dhahiri kuwa PM kadanganya...Speaker atamchkulia hatua gani PM?
   
 18. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #18
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  walishaharibu miaka mingi, duh kumbe ulikuwa hujui.
   
 19. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #19
  Feb 11, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,163
  Likes Received: 1,122
  Trophy Points: 280
  G. Lema (MP) alisema 'kiongozi mwandamizi wa serikali kama WM, akisema uongo kwa umma, sheria ipi itatumika kumuadhibu?' so WM ilikuwa kama mfano pia Spika alitakiwa ataje nini kitafanyika WM akitoa taarifa kwa umma ya uongo, then angesubiri kama G. Lema (MP) ange-present hiyo allegation then angemtaka alete uthibitisho. Lakini kwa kauli ya G. Lema (MP) hajamtuhumu WM
   
 20. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #20
  Feb 11, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Naomba muongozo: kama wote jamii forums ni wajinga,nifanye nini?
  Je hapa nimesema kuwa wote JF ni wajinga!?
   
Loading...