Ridhiwan anapewa escort; Kwanini?

Chief Isike

JF-Expert Member
Jan 17, 2010
445
462
Wakuu sijui ninyi mtazichukuliaje habari hizi, kwangu mimi naziona ni habari za kusikitisha. Habari kutoka chanzo cha habari cha kuaminika kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Nyerere (JNIA), zinasema kuwa kijana, mtoto wa mkulu, Ridhiwan, kaonekana uwanjani hapo, ikisemwa kuwa ana safari yake binafsi, kwenda Dubai.

Nachelea kulia. Naomba nijikaze kiume, kijasiri ili niweze kulisema hili, naomba niwezeshwe, maana sasa nchi inakoelekezwa, aaaagh, basi wahenga na Mungu wanajua...KAPELEKWA UWANJA WA NDEGE NA ESCORT AKIWA KATIKA GARI YA IKULU, lenye ngao na polls mbili lakini HALIKUWA NA BENDERA. Mbele kulikuwa na gari ya escort ya king'ora na nyuma gari ya usalama, so the source said.

Kuna mengine tutayaongeza. Kuna kazi nafanya mara moja wakuu, just kuanzia hiyo. INASKITISHA JAMA, THIS IS EXTREMEEEEEEEEE
 
Wakati wa kampeni, baba alimtuma mwana ...sasa baba anamlipa mwana kwa kazi nzuri aliyoifanya ya kuksanya wadhamini...
Ubia wa Urais! Ingawaje mkulu alisema urais wake hauna ubia.
Baba Rais, watoto wanapewa ulinzi kwa usalama wao...hayo hufanywa katika nchi za wenzetu sijui sisi huwa tuna mfumo upi.
 
Wakuu sijui ninyi mtazichukuliaje habari hizi, kwangu mimi naziona ni habari za kusikitisha. Habari kutoka chanzo cha habari cha kuaminika kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Nyerere (JNIA), zinasema kuwa kijana, mtoto wa mkulu, Ridhiwan, kaonekana uwanjani hapo, ikisemwa kuwa ana safari yake binafsi, kwenda Dubai.

Nachelea kulia. Naomba nijikaze kiume, kijasiri ili niweze kulisema hili, naomba niwezeshwe, maana sasa nchi inakoelekezwa, aaaagh, basi wahenga na Mungu wanajua...KAPELEKWA UWANJA WA NDEGE NA ESCORT AKIWA KATIKA GARI YA IKULU, lenye ngao na polls mbili lakini HALIKUWA NA BENDERA. Mbele kulikuwa na gari ya escort ya king'ora na nyuma gari ya usalama, so the source said.

Kuna mengine tutayaongeza. Kuna kazi nafanya mara moja wakuu, just kuanzia hiyo. INASKITISHA JAMA, THIS IS EXTREMEEEEEEEEE

Mkuu kwani ulikuwa hujajua?
Mbona huo umeshakuwa kama utaratibu kabisa.
Wakati wa kumwapisha mchakachuaji, huyo dogo aliingia na V* ya ikulu huku akiwa na escoti ya polisi+king'ora+usalama wa taifa. Walipofika pale uwanjani (Shamba la bibi), alifunguliwa mlango na jamaa wa usalama huku akipigiwa saluti. Mtoa matangazo pale uwanjani pia alitangaza kuwasili kwake kama vile viongozi wakubwa wanapotangazwa pindi wanapowasili kwenye tukio kama hilo kwa kufuata protokali.

Swali linabaki:
Je huyu si raia wa kawaida kabisa kama sisi, inakuwaje anapewa vipaumbele vikubwa namna hii?
Je katiba mpya imeshaundwa au ya zamani kubadilishwa/kuongezewa kifungu kinachomtambua "First Son"?
Je urais ni mali ya familia kiasi kwamba mmoja anapofanikiwa kuwa rais basi familia nzima inapata prevelegi kama zile za rais?

YOTE KWA YOTE, HII NI AINA MPYA YA UFISADI NA HAWA NAO NI MAFISADI HIVYO TUWAWEKE HADHARANI.
 
Wakuu sijui ninyi mtazichukuliaje habari hizi, kwangu mimi naziona ni habari za kusikitisha. Habari kutoka chanzo cha habari cha kuaminika kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Nyerere (JNIA), zinasema kuwa kijana, mtoto wa mkulu, Ridhiwan, kaonekana uwanjani hapo, ikisemwa kuwa ana safari yake binafsi, kwenda Dubai.

Nachelea kulia. Naomba nijikaze kiume, kijasiri ili niweze kulisema hili, naomba niwezeshwe, maana sasa nchi inakoelekezwa, aaaagh, basi wahenga na Mungu wanajua...KAPELEKWA UWANJA WA NDEGE NA ESCORT AKIWA KATIKA GARI YA IKULU, lenye ngao na polls mbili lakini HALIKUWA NA BENDERA. Mbele kulikuwa na gari ya escort ya king'ora na nyuma gari ya usalama, so the source said.

Kuna mengine tutayaongeza. Kuna kazi nafanya mara moja wakuu, just kuanzia hiyo. INASKITISHA JAMA, THIS IS EXTREMEEEEEEEEE
Kulikuwa na taarifa za kiintelijensia zikionesha kuwa angedhurika na hivyo Mkuu wa nchi angeathirika kisaikolojia na kuacha kushughulikia matatizo ya wananchi hivyo kuagiza yafanyike uliyoyaona mkuu. LOL.
 
Kwani mtoto wa rais hadeserve usalama wa nchi? Nini maana ya kuwa first family? JF siku hizi imejaa watoto na watu wenye wivu tu. Kama mtoto wa rais anatakiwa apate ulinzi wa serikali ili kumlinda na hatari yeyote. Vilevile wanatengewa budget yao maalum kufanikisha usalama wao including gari za kuendeshwa, askari wa kuwalinda, security escort na kadhalika. Na hili lipo hata ulaya na marekani au mmesahau familia ya george Bush na watoto wake walivyokuwa wakiwasumbua usalama wa taifa wa marekani??
 
Mkuu kwani ulikuwa hujajua?

Swali linabaki:
Je huyu si raia wa kawaida kabisa kama sisi, inakuwaje anapewa vipaumbele vikubwa namna hii?
Je katiba mpya imeshaundwa au ya zamani kubadilishwa/kuongezewa kifungu kinachomtambua "First Son"?
Je urais ni mali ya familia kiasi kwamba mmoja anapofanikiwa kuwa rais basi familia nzima inapata prevelegi kama zile za rais?
Q1. Anaandaliwa kuzoea uongozi ili siku akishika nchi asibabaike, Mubarak pia alikuwa anamwandaa mwanae ila waandamanaji wamemwahi..,
Q2. Kamati itaundwa na RAIS kwa maagizo maalum ya kulipachika hilo ukizingatia wa tz hawasomi neno kwa neno.
Q3. Hili lilijibiwa na JK kwamba Urais ni wake na Familia yake.
 
Ndio maana tukawaomba mumchague rais mwenye mchumba ili tusipate hasara ya magari ya ikulu kutumiwa na watoto wa rais.
 
Tanzania watu wako ni wema sana, lakini sasa wema wao unaelekea mwisho!!!:twitch:
 
Nijuavyo mimi watoto wa marais wengi tu duniani(wanaounda first family) hupewa ulinzi na ama polisi,jeshi,secret service ama chombo chochote kinachosimamia usalama wa viongozi kwa nchi husika(ikiwa ni pamoja na kuwa na motorcade yenye escort ya walinzi) so Ridhwan kama mmojawapo wa watoto wanaounda first family ulinzi ni stahili yake...
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom