ni salama kwa wanaharakati kutumia modem za vodafone? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ni salama kwa wanaharakati kutumia modem za vodafone?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Feb 11, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  najua wengi wenu mnamiliki laptops,na mnaingia mtanadaoni anytime home and away kwa kutumina modem (sijui ni king'amuzi kwa kishwahili) zenu. lkn tusishahau kuwa moja ya mafisadi wanaoyumbisha nchi yetu, bwana fulani, anahisa kwenye moja ya kampuni kubwa za sim za mkononi hapa tz. sasa kwa wale wna-jamvi wanaotumia modem za kampiuni yake na wakti huouo ni wanaharakati wanaomchambua kama karanga kila siku. jeeeeeeeee? si atawadakisha kiulaini sana akiamua kuwanyaka?

  how safety are you wahaharakati?
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Mi natumia ya TTCL, Speed murua, cheap halafu ya uhakika hakuna outage.
   
 3. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hilo nalo nenooo!!!!!
   
 4. t

  tbetram Member

  #4
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Currently the safe way ni kutumia internet cafe. Ambapo mmiliki wa internet cafe ndiye anaweza kutambulika na sio wateja
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  sio salama lakini hatuogopi

  Muda wa woga umeisha na tunachoongea sio majungu

  Kwa tunaotumia voda, mtagundua for a week now pesa inaliwa mara nne zaidi ya kawaida hasa ukiwa JF
   
 6. K

  Kipara kikubwa Member

  #6
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ukweli na mimi nimekuwa na mashaka na hizi forum kwa mfano naomba moderator atuhakikishie siku hizi baada ya marekebisho ktk muonekano kama umetuma kutumia mobile inasema sent through mobile je hiyo namba ya mobile haiwezi kuwa traced na IP number ya computer je vp? Kwa ufupi usalama mdogo hasa forum zenye matangazo mfano akikamatwa mlipwaji mfano airtel huwa anamlipa nani jina ktk check linaandikwa nani? je akibanwa akabanika hawezi disclose IP adress? mchekeche bongo zenu
   
 7. e

  emmagaja Member

  #7
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  zama za uoga zimekwisha. kama vp 2taanamana kudai haki kwa nguvu. kama vp wajaribu waone kama yaliyotokea tunisia kisa cha mmchinga aliyemtimua rais
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Binafsi siongopi na sijui kwanini niongope!?
   
 9. F

  Felister JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2011
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Niajabu kama tutamwogopa mtu ambaye hana uhakika na pumzi yake sekunde inayofuata na kuacha kumwogopa Mungu ambaye anauwezo wa kukunyima pumzi kwa sekunde moja ukanyamaza milele na kuwaacha uwapendao sana bila hata kusema neno. Tena huyu Mungu anakujua kuliko unavyojijua kwake huwezi kujificha; kwani wewe wajua idadi ya nywele katika kichwa chako? Je hapo nani wa kuogopwa zaidi yule ambaye hata yeye anaomba hisani kwa Mungu au mtoa hisani ya pumnzi ya kuishi?

  Duuh ni ajabu sana watu hawaogopi adhabu ya Mungu wa wanyonge kwa kutokusaidia wamama wanaolala sakafuni kwakukosa vitanda; watoto wanaokufa kwa kukosa dozi ya malaria; wanafunzi wanao feli kwa kukosa elimu bora na hivyo kugeuka vibaka na kufa vifo vya kinyama kwa kuadhibiwa na watu hao hao wanaoogopa hata basi kama hawawezi kuwawajibisha basi kuwasema hadharani mafisadi! Ajabu sana.

  I fear no body under the sun although I respect all humanbeings regardless of their status. For me to live is Christ and to die is advantage! Kwaajili ya watu wanyonge sintanyamaza na hakuna wakunifanya lolote wala sihitaji JF kujificha bali naitumia kupaza sauti yangu popote pale wakati wowote ule kwahiyo kwa sababu zinazoeleweka ambazo kwa busara ya Mungu I know i can do something if not in actions basi angalau words, will never compromize my dignity never!
   
 10. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Yaani ukiwa JF tu tu?????????
  Hiyo mpya nayo.
   
 11. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Atawanyaka wangapi?
  Magereza hayatoshi! na muda huo hana!
   
 12. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #12
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu nadhani suala la usalama wa wanaharakati kuhusu matumizi ya mtandao ni kama wahusika wanazembea au bado hawajajua namna ya kutumia teknolojia vizuri, kwa sababu mawasiliano yote yanayofanyika hasa ya simu na intaneti kiutaratibu yanatakiwa yarekodiwe na TCRA (mamlaka ya mawasiliano tanzania) hivyo kama wako serious watakuwa na data za mawasiliano ya kila raia aliyewasiliana kwa kutumia mawasiliano hayo niliyoyataja.
   
 13. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #13
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Du hiyo kali mambo yote tumwachie Moderator kwani ukiwa mtandao wowote ni lazima uwe na e-mail ambayo itaandika detail zako zote km simu zako, unapoishi, nk hii ni kwa wote wanaotumia hata kwenye Cafe.
  Kwa wale wanaotumia mpdem ile chip yako imesajiliwa ni lazima unajulikana, ni kuwa tuwe na amani mbona Misri wamemtoa MUBARAK
  ? huyo R. Azizi na Voda wanamtandao ni wao pekee wanaoweza kumnyima pesa yake ya Dowans hata yoyote atakyeenda kinyume cha matakwa ya Binadamu
   
 14. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #14
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Tumieni mtandao wowote, ilimradi michango yenu iwe kweli kwa manufaa ya umma. Tena ningewashauri kutumia majina yenu halisia. acheni ligha mbaya, tumieni uhuru wenu wa kutoa mawazo kama John Mnyika na wengine. Mbona Misri wametumia mitandao bila matatizo. Kuweni na dhamiri njema tu.
   
 15. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #15
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Brothers and sisters, courage is not the absence of fear..... but rather the art of controlling it..... So let us be courageous and finish what we have started..... AMANDLAH!!
   
 16. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #16
  Feb 11, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  :clap2::A S 20: usinivunje mbavu
   
 17. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #17
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,859
  Likes Received: 4,540
  Trophy Points: 280
  Mkubwa unaingia ulingo wa masumbwi afu unaogopa ngumi za uso?!
   
 18. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #18
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  no fate no fear.....................
   
 19. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #19
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Sio tu kuhofia kunyakwa mi nafikiri watu wanazidi kumuongezea mifaida.
   
Loading...