Gudlucky
Member
- Feb 9, 2011
- 22
- 1
Uwepo wako kukosekana katika kiti cha Spika wa bunge kumeonesha mapungufu mengi sana! Hekima zako, busara, utulivu na umakini katika kuendesha shughuli za bunge ndizo hasa zinatufanya tukumbuke umahili wako katika nafasi hii ya usipika! Uwazi na Ukweli pia haki ulivyokuwa navyo vilisababisha bunge kuwa na mafanikio makubwa! Sasa, sijui kwa namna ya sasa kama tutafika! Sijui!