Mh.Rostam Aziz, the longest Serving MP | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh.Rostam Aziz, the longest Serving MP

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by newmzalendo, Feb 10, 2011.

 1. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Mh.RA is among the longest Serving MPs,amona spika wanaingia na kutoka,ameona mengi akiwa bungeni,he doesnt talk much ktk bunge,ila wananchi wake wanaridhika na utendaji wake,wanampenda sana.
  He talks less but i believe he does alot.(Action Oriented)

  najiuliza iweje watu wamtajetaje sana ilhali aongei kitu bungeni?
  Aliwezaje kujipenyeza ktk ubunge akiwa na asili ya IRAN
  Je misaada ya watu wa IRAN ktk Tanzania alikuwa na mkono kusaidia ije TZ,e.g Shule ya Al haramain ,kilikuwa chuo cha posta na Simu pale ilala.

  How can a single Asian person ,suposedly from the bush in mikoani become such a powerfull man without support of the locals.Wabantu.
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  it is because he can!!!

  and we cant stop him
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  re arrange your literature .... it is confusing based on subject
   
 4. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Siunajua wabantu na njaa njaa zetu! Kama kaweza kumshawishi Anna Makinda na kumback up agombee uspika kaweza sembuse na walala hoi. Tunahitaji nguvu kubwa sana ya uzalendo kupigana na ufisadi(pesa). Ila nadhan wananchi wa igunga sasa wanabadilika kwa mtiririko wa tuhuma hizi dhidi ya mbunge wao.
   
 5. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  wanatakiwa wanaume wa shoka kusimama na kufanya kama yanayofanywa misri kwa nguvu ya pesa hatumuwezi ila kwa nguvu ya mapinduzi anawezekana.
   
 6. Malafyale

  Malafyale JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2011
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 11,209
  Likes Received: 3,622
  Trophy Points: 280
  kumbukumbu zangu zinaonyesha kuwa Rostam Aziz alichukua kwa mara ya kwanza ubunge wa Igunga mwaka 1994 kwenye chaguzi ndogo baada ya kifo cha aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo na waziri wa michezo hayati Charles Kabeho!

  Kawa mbunge kuanzia mwaka 1994-mpaka sasa;nipo tayari kurekebishwa kama nime kosea sehemu kwenye kumbukumbu hizi!
   
 7. d

  donald2011 New Member

  #7
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi watu wa Igunga wanamatatizo vichwani? Nahakika yuko kwenye JM mtu kutoka huko. Vipi huyu ndugu Rostam amefanya ubunge mali yake. ikifika 2015 atakuwa amefikisha miaka 21 bungeni? What do you have there? Maji hayakatiki, Umeme haukatiki? Chakula kipo hamfii njaa? Ameoa Mtoto wenu? Watoto wake wanaishi Igunga na mnawajua? wako wangapi? Anafanya kazi gani nyingine hapo Igunga? ameajiri watoto wenu wangapi? Nikipata majibu chanya naweza kuungana nayi kumsujudia!
   
 8. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  King'ang'anizi.

  Akiacha siasa biashara zake zitakwisha - anahitaji sana kuwa katika siasa za juu nchini kufanikisha mambo na utajiri wake.
   
 9. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #9
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Mwaka 1994 pale Igunga kulikuwa na njaa; basi Rostam alitoa msaada wa magunia ya mahindi (kama 400 hivi) bure kusaidia ndugu zangu waliokuwa wamekamiwa na njaa ile; aligawa wilaya nzima, kila kaya ikipata kama debe mbili hivi. Magunia yote hayo yalikuwa na thamani isiyozidi Shilingi millioni 10 za Kitanzania wakati ule (sina data kamili.) Kufuatia kitendo kile, wanyamwezi wa Igunga wakamtaka asimikwe kuwa ni mtemi wa wanyamwezi na kumpa ubunge. Hivyo ndivyo Rostamu alivyoingia Bungeni. Mara tu baada ya kuingia bungeni, akapiga dili kubwa na serikali akapata tenda ya kujenga barabara ya shekilango pale Sinza wakati hana vifaa vya ujenzi. Mradi ule ulimwingizia mamilioni bila jasho kwa sababu hakujenga chochote na bado alilipwa. Kuanzia hapo Rostam amekuwa anachapa madili ya ajabu sana kutoka serikalini kwetu hasa kwa vile baadaye alikuwa mwanachama wa mtando wa Kikwete.
   
Loading...